Maandamano ya chadema yavunjwa na polisi shinyanga

Jun 26, 2011
13
2
Maandamano ya wanachadema yaliyokuwa yaanzie eneo la ibinzamata had uwanja wa shy com yamezuiliwa na manjagu huku wa2 wakiwa wameshajipanga tayar kwa maandamano. Dr slaa ndiye mnenaji mkuu,wa2 wamejaa maeneo ya uwanjani tayar kusubir hotuba za ukomboz wa nchi
 
Inamaana haya kuwa na kibali au?
 
It must be communication breakdown, yaani mimi kabisa cjui kama Mkuu wa Nchinyupo Shy town. Mkuu Mangusha, tupe updates za hapo shy-com!kama kweli ngoja niongee na jamaa yangu ticha wa Uhuru Sec, ili atuletee picha
 
Inamaana haya kuwa na kibali au?
Kwenye katiba mpya huu upuuzi unaitwa kibali cha maandamano utolewe watu waandamane kwa uhuru bila kubughudhiwa mbona sijawahi kusikia maandmano ya magamba yamezuiliwa??
 
Maandamano ya wanachadema yaliyokuwa yaanzie eneo la ibinzamata had uwanja wa shy com yamezuiliwa na manjagu huku wa2 wakiwa wameshajipanga tayar kwa maandamano. Dr slaa ndiye mnenaji mkuu,wa2 wamejaa maeneo ya uwanjani tayar kusubir hotuba za ukomboz wa nchi

Kwanini wanaandamana? Kibali hawakuomba viongozi wa chama? sijaelewa bado habari kama haijakamilika.
 
Back
Top Bottom