Wanabodi Imekuwa ni kawaida kwa CCM kupitia Viongozi na Makada wake kutoa kauli mbali mbali pindi panapotokea matukio ya kukimbiwa na wanachama wake.
Lakini kauli hizi wakati mwingine CCM bila...
Pole sana Mkubwa angalau umejaribu kuona Ugumu na Uraisi wa ulichokiwaza na kukifanyia kazi.
Nakuomba Ujitokeze utoe shukran kwa ulipofikia,waswahili husema MWANZO MGUMU.
Mungu awe nawe.
Wadau naomba kujua kati ya wagombea wa leo nani ambaye anauwezo wa kuwa mbunge wa Afrika mashariki lakini tangia shule ya msingi mpaka sekondari amesoma shule za serikali hapa nchini.
Nawasilisha
Jana nimekuona Martin Shigella kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC1 ukitoa comments zako kuhusu kitendo cha aliye kuwa mwenyekiti wa UVCCM A-town Ndg.James Millya kujiondoa Magamba. Kauli...
Leo wakili wa Magamba bw. Wasonga alikuwa anatoa utetezi wa ushahidi wao ambao Mh. Lissu aliuchambua jana na kuonekana wote ni Negative, alikuwa anajichanga ile mbaya anaongezea na vitu ambavyo...
Mh. Lazaru Nyalandu(Naibu waziri) ametamka kuwa kuna watu CCM wanampiga kiasi cha kumwekea mitego mbalimbali ili kutimiza malengo yao ya kumchafua kisiasa. Maneno hayo aliyatoa wakati akikanusha...
Kwanza kabisa mimi siyo mfuasi wa CCM lakini nauliza tu: Kwa nini vigogo au makada wa CCM wanaoonekana wakorofi hawafukuzwi mara moja kutoa chamani -- wanasubiri hadi waumbuliwe kwa wenyewe kuamua...
Nahakika kabisa mwisho wa sendeka wa ubunge umefika mwisho baada milya kuhamia cdm.simanjiro imekuwa haina mwakilishi bungeni,sendeka amekuwa kazi yake kubwa ni kudandia hoja za wabunge wengine...
Let me start by quoting the the 40th president of United States, Ronald Reagan " Freedom prospers when religion is vibrant and the rule of law under God is acknowledged." mara nyingi watanzania...
Kwa kipindi nilichokuwa nasoma na mazingira ya kazi na hata nikiangalia bunge, nikisikiliza press conference za kitanzania.Najion km nipo ktk very hostile world.
KM NINAVYOONA KIJANA WA KIUME...
Haki ya Mungu naapa 2015 mnatoka madarakani na kwa taarifa yenu mjiandae kuondoka nchi hii kwa sababu tutawatafuta mmoja mmoja kamwe hamtakwepa makali yetu ya upanga,hasira tuliyo nayo kwenu...
Nilifurahi sana jinsi madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba walisvyoshikamana kuipinga bajeti iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Wilaya. Walidai hawaipitishi kwa sababu kiasi kikubwa...
Ni ndege ya rais wa Kameruni
Rais Paul Biya na mkewe Chantal
Heri marais wa kiafrika wawe na ndege kama hizi ili kupunguza gharama na utapeli
Mawaziri wawili nchini Kameruni wamejikuta matatani...
Ktk Kipindi kinachoandaliwa na Adam simbiye kinachorushwa na TBC, niliona na kusikia hali ya kushangaza. Achilia mbali mizaha ya Dr Rwaitama,macho yangu na akili yangu ilikuwa kwa Tendwa...
Wadau! Vijana wengi Bongo wanaonekana kuamka kiasi kuhusu suala la Demokrasia, na ushiriki wao si mbaya na unatia moyo. Ila shida kubwa ni ile hali ya kuwa uwezo wawapo katika makundi tu, na...
Takukuru yatangaza vita
Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Dodoma, Eunice Mmari alipoulizwa jana kuhusu madai hayo alikiri kuwa na taarifa za baadhi ya wagombea na mawakala wao kutoa rushwa na kusema...
Ndugu wana JF Imenibidi niulize, maana huyu Mzee ni kama yuko uhamishoni vile, maana tangu Magamba wamvue kipande kimoja cha gamba( ukatibu ) mpaka leo ni kimya kabisa, Yuko wapi huyu Mzee...
"Nimeupokea kwa furaha sana uwamuzi wa James Ole Millya kuhamia chadema na pia ninapenda kuwakaribisha wanaccm walio wasafi ndani ya chama chao wajiunge na chadema watuongezee nguvu ya kuharakisha...
Mwenzenu bado nafikiria Matokeo ya Uchaguzi wa Arumeru Mashariki, inamaana hii dhana ya HATA MKISHINDA HAMSHINDI aka USHINDI NI LAZIMA ndio imezikwa kabisa au vipi?
Yaani kama ni kweli itakuwa ni...