Capitalist
Senior Member
- Feb 3, 2011
- 164
- 27
Leo wakili wa Magamba bw. Wasonga alikuwa anatoa utetezi wa ushahidi wao ambao Mh. Lissu aliuchambua jana na kuonekana wote ni Negative, alikuwa anajichanga ile mbaya anaongezea na vitu ambavyo havikusemwa huku kamanda Lissu akipinga na kumuomba jaji aangalie kama hayo anayoongezea yako recorded, na Jaji kumkatalia, na kumwambia jaji ayarekodi Lissu mwuuliza Jaji kwanini wakili aiaddress Mahakama kurekodi vitu ambavyo havikuwepo kwenye ushahidi wa mwanzo?
Jaji akasema mwacheni tu aonge lakini Mahakama ina busara zake. Pia wakili Wasonga alimwambia jaji LISSU anawabana kwa kuwa ni Wakili mzoefu, umati uliojaa ndani na njee ya mahakama ukacheka kwa nguvu na wakili wasonga akamwomba Jaji awaonye kwani wanamzonea, kisha jaji akachimba mkwara watu wasioeneshe ushabiki wa vyama Mahakamani. Palikuwa patamu , kesi inaendelea mchana huu.