Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya viongozi wetu bila haya wana phd feki na wanajiita madoctor bila woga...mi namjua getrude rwakatale...mwenzangu wana jf unamjua liar mwingine?
0 Reactions
0 Replies
746 Views
In a move to control road accidents and other traffic irregularities, the government has come up with a law with conditions attached to a driving licence whereby every licence will have points to...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Kumekucha, Kamanda James Ole Millya baada ya kuufuata upepo wa Mabadiliko unauvuma vizuri tu ndani ya Tanzania na kuanza kusomba ngome ya CCM- Staminaz ndani ya Arusha,Ataingia ndani ya ngome ya...
11 Reactions
70 Replies
8K Views
Kwenye uchaguzi wa kuchagua wabunge wa kwenda kutuwakilisha kwenye bunge la Afrika Mashariki (ingawa si bunge) tumejifunza mambo mengi sana. Nimejifunza kama taifa hatuna kabisa mambo ya msingi...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Na Alfred Lucas - Imechapwa 11 April 2012 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimebainisha maeneo matano ya kipaumbele katika “kipindi kifupi kijacho,” ili kujiimarisha miongoni mwa umma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari kutoka bungeni zinasema Mbunge wa TMK kapata ajali ya gari Ila hajaumia.
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari iliyotapakaa katika corridor za habari za siasa ni kujiuengua kwa Millya toka CCM na kuhamia CDM. Habari yenyewe inachokonoa mjadala kwa sababu zifuatazo 1. Millya alikuwa difficult...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani Arusha kuna nini? Hebu angalia..................... Wabunge wa upinzani wa jimbo la Arusha Mjini wameondolewa Ubunge kwa amri ya mahakama. Viongozi waandamizi wanaohamia CDM toka CCM ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akitangaza matokeo ya wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki Katibu wa bunge anasema kwamba kati ya kura 305 zilizopigwa kura 16 ziliharibika sawa na asilimia 6.2. Hivi inakuwaje wabunge...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
VIDEO~WAZANZIBARI WAKIONESHA HISIA ZAO~ KONGAMANO KIDUTANIWritten by Nasikia kichefuchefu nikikumbuka muungano // 17/04/2012 // Habari, Vidio // 2 Comments Related PostsTAARIFA KWA...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
  • Closed
Sioni sababu watu kijidai hawataki muungano wakati kikubwa kinachowasumbua ni njaa,watalii wanaoingia znz wanavaa ovyo kuliko kawaida,lakini hawawaongelei wanaongelea wabara eti hawafuniki kichwa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwalimu alisema msipotenda haki chama hakitasimama....je ni nani hasa wa kumlaumu?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Maelezo ya Barua ya Mwakiembe “Bado nina imani kubwa na Jeshi letu la Polisi kwamba litaifanyia kazi taarifa hii bila kujali nguvu ya ukwasi na ya kisiasa ya watuhumiwa na kwa kuzingatia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zanzibar yajipanga kuboresha miundombinu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Zanzibar, Ahmad Masoud Ahmad, amesema wizara yake imejipanga vyema katika kuingia katika mfumo mpya wa...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Not happy with some of our reps to eala. Anyway, its democracy. The poorest TZA Team ever to eala since 2001. No offence
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Ndugu zangu hii serikali ya tz chini ya ccm inatupeleka jehanamu ya moto, kutokana na jinsi isivyokuwa makini ktk mambo mengi muhimu ya kulijenga taifa hili. Mfano dhahili ni ajira kwa vijana...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kumwandalia sherehe kubwa ya kumpokea mwanachama wake mpya, James Ole Millya aliyekihama chama cha mapinduzi CCM na kujiunga na chadema...
1 Reactions
87 Replies
10K Views
Baragumu limepigwa, chukueni maamuzi wale wote walio na fikra za kimapinduzi ambao mpaka sasa bado mnasita kuamua kutokana na hofu ya kufitiniwa na magamba wakisaidiwa na vyombo vyao vya dola...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najitahidi mara nyingi niwezavyo kufuatilia kupitia televisheni majadiliano ya vipindi vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea huko Dodoma. Nimeshamsikiliza mara nyingi sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi, Nimekuwepo mjini Dodoma kwa siku mbili tatu. This is my opinion kuhusu Uchaguzi wa nafasi ubunge wa Afrika Mashariki, wagombea gani wana chances zaidi za kushinda na sababu zao za...
1 Reactions
69 Replies
16K Views
Back
Top Bottom