Sendeka umejiandaa je 2015 na hichi chuma cha pua cha CHADEMA

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Nahakika kabisa mwisho wa sendeka wa ubunge umefika mwisho baada milya kuhamia cdm.simanjiro imekuwa haina mwakilishi bungeni,sendeka amekuwa kazi yake kubwa ni kudandia hoja za wabunge wengine jimbo lake amelisahau.simanjiro kuna njaa hakuna maji barabara mbovu lakini utamsikia mbunge anawasemea arumeru watapata maendeleo kivipi?wakati kwake zero.sasa asubiri chopa inakuja huko na kamanda milya chuma cha pua morani wa ukweli .sendeka muda wa kuchukua mchanga tz one kwa kisingizio wa uwt unakaribia.
 
Bado sijamkubali kabisa huyo Milya labda akikaa hapa CDM miaka angalau 3 kwani anaweza kushinda then akauza jimbo nakumbuka 2010 vijana wengi waliuza majimbo kwa uroho tu wa fedha kumbuka mbeya vijjn, isimila nk naumia sana hawa wauza JIMBO
 
Acheni wasiwasi mbona kuna wengi tu wanakuja. Nyarandu naye nasikia yuko njiani anakuja kuchukua jezi.
amechoka na kijani anataka kombati.
 
Nahakika kabisa mwisho wa sendeka wa ubunge umefika mwisho baada milya kuhamia cdm.simanjiro imekuwa haina mwakilishi bungeni,sendeka amekuwa kazi yake kubwa ni kudandia hoja za wabunge wengine jimbo lake amelisahau.simanjiro kuna njaa hakuna maji barabara mbovu lakini utamsikia mbunge anawasemea arumeru watapata maendeleo kivipi?wakati kwake zero.sasa asubiri chopa inakuja huko na kamanda milya chuma cha pua morani wa ukweli .sendeka muda wa kuchukua mchanga tz one kwa kisingizio wa uwt unakaribia.
sikutarajia kama milya angekuwa lulu kiasi hiki akija chadema. what's hell is this?
 
Na Hoja yake ya Nyumba za Serikali zilizouzwa kwishneyi...anatishia kujamba anaishia kuharisha!Unachezea Millya wewe!
 
Ni mapema mno kuwa na matarajio makubwa kiasi hicho toka kwa mtu ambaye amekuwa kada wa CCM wa muda mrefu.Hata harufu mbaya ya UCCEM haijaisha tunampamba kiasi hicho!La msingi kwa sasa,kwa kuwa ametambua CDM ndio upande wa haki na amehiari mwenyewe kuwa mmoja wetu TUMTUMIE kisawasawa kukisambaratisha CHAMA MAGAMBA kabla ya kumpa dhamana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom