Hata mkishinda hamshindi!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata mkishinda hamshindi!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sangarara, Apr 17, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mwenzenu bado nafikiria Matokeo ya Uchaguzi wa Arumeru Mashariki, inamaana hii dhana ya HATA MKISHINDA HAMSHINDI aka USHINDI NI LAZIMA ndio imezikwa kabisa au vipi?
  Yaani kama ni kweli itakuwa ni Jambo Jema sana, Nasikia Faraja sana.
   
Loading...