Ukweli kuhusu uelewa wa Demokrasia kwa Vijana

EDOARDO

Senior Member
Oct 4, 2010
115
13
Wadau! Vijana wengi Bongo wanaonekana kuamka kiasi kuhusu suala la Demokrasia, na ushiriki wao si mbaya na unatia moyo. Ila shida kubwa ni ile hali ya kuwa uwezo wawapo katika makundi tu, na kukosekana kabisa kwa uwezo binafsi. Hasa wale vijana wenzetu walioishia STD 7. Ingawa si wote, tunatakiwa kuwasaidia kujenga "Self Awareness" kwenye masuala ya Demokrasia.:wave:
 
Back
Top Bottom