Sijui ni kwanini Tanzania tunakosa viongozi wenye uweze na ujasiri wa kujibu provocative questions | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui ni kwanini Tanzania tunakosa viongozi wenye uweze na ujasiri wa kujibu provocative questions

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 17, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Kwa kipindi nilichokuwa nasoma na mazingira ya kazi na hata nikiangalia bunge, nikisikiliza press conference za kitanzania.Najion km nipo ktk very hostile world.

  KM NINAVYOONA KIJANA WA KIUME TENA WA MJINI KAAMUA WEKEZA KTK KUJAZA WESE( akikaa ..makalio yote nje, ktk ya makalio unaona mpaka chini, akitembea nahema, na ana mikwara kuwa mabibi wote ni wake),HUWA NAJIULIZA IMEKUWAJE AKAKOSA CHAKULA KINACHOMFAA KWA KIASI HICHO? NDIVYO PIA NAJIULIZA HAYA MASWALI.INAKUWEJE BONGO TUNAKOSA VIONGOZI,WALIMU WANAOWEZA KUJIBU MASWALI ya mitego, ya kichokozi, halafu wakajibu kwa haraka bila kupandisha hasira au kujibu kiholela.Pia najiuliza inakuweje hatuna maandishi na watangazaji wenye maswali ya direct, provocative na yanayojibu maswali ya watanzania.

  Tazama CCM leo wanakurupuka wanajibu, vitu bila kujua,wanajibu kwa jazba, wanakimbilia vyombo vyenye waandishi duni. Angalia TBC, ukija ITV ni masako tuu pale na wnegine wachache.halafu sikiliza maswali ya kipima joto....ni maswali yapo too obvious. Swali km ..."wanaohujumu usambazaji wa mbolea ya minjingu .Je wanastahili kuadhibiwa?"...kuadhibiwa ni obvious ila ..adhabu gani ndio si obvious hadi iingie mahakamani.

  Kwanini hatupendi push things to the limit?Na hata watu wetu wakikutana na mazingira ambayo tunahitajika kwenda hadi ktk limit na ikibidi tu extend limits.Tunalalama ubaguzi.Zitto alipodai kuwa mawaziri wanajibu hovyohovyo sikushangaa ,zaidi ya kuona kanifikisha ujumbewangu.Angalau TV yangu ikapona kwani nilikuwa kila mara najikuta naidunda na kitu kwa hasira.:rip:
   
Loading...