CCM mjiandae kuhama nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM mjiandae kuhama nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Apr 17, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Haki ya Mungu naapa 2015 mnatoka madarakani na kwa taarifa yenu mjiandae kuondoka nchi hii kwa sababu tutawatafuta mmoja mmoja kamwe hamtakwepa makali yetu ya upanga,hasira tuliyo nayo kwenu mtaiona siku si nyingi na gharama ya kulipa uhuni wenu kuanzia bungeni mpaka uongozi wa chini itakuwa kubwa
   
 2. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Taratibu mkuu, usiwastue, tumwombe Mungu atupe uzima tufikie siku ya siku tushuhudie utamu watakaoupata wakigeuziwa kibao.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko kwa ajili ya maendeleo, siyo mabadiliko kwa ajili ya kuwatafuta watu. Utabaki na nani kujenga nchi kama utawafukuza wana-CCM? au haujui kwamba SLAA, MBOWE,SHIBUDA, MPENDAZOE, ZITTO, MILLYA, MNYIKA wote ni wana CCM? au kwa vile walijivua magamba? halafu naamini kabisa wewe siyo Mtanzania kwani mtanzania hawezi kutoa kauli za uvunjifu wa amani kiasi hicho, hali ambayo haikuzoeleka kabisa katika nchi yetu. Labda utuambie watanzania umejiandaa vipi kwa hicho ulichokiandika. Mods tusaidieni kuondoa threads zenye lengo la kuwagawa watanzania na kuhatarisha amani.
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tutaanza na mtoto wa rais, Riz1 atueleze vizuri kuhusu u-bilionea wake.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Una hasira sana Mkuu punguza kidogo!
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu: Kuna baadhi wameshajiandaa kutokomea huko walikopeleka mafweza waliyotuibia. huko mikoani kuna mmoja alikutwa katika chumba cha hotel na pasipoti mbili na silaha nzito. Hizo pasipoti ni kwamba anaweza kuchomoka nchini ndani ya muda mfupi sana kupitia mipaka ya nchi kavu iwapo lolote linaloweza kutokea ghalfla.

  Kumbukeni siasa ni kama upepo unwaweza kubadilisha direction any time.
   
 7. d

  davidie JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtanzania halisi ni yule ambae yuko tayari kuitetea nchiyake pia kutumia muda wake kwa kuliendeleza taifa na pia anayeweza kuwatumikia watanzania wenzake kwa uchungu wa mali za taifa, sasa kati ya huyu mtoa mada na hawa wezi wanaochota fedha zetu nani ni mtanzania na nani si mtanzania?
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwenye ndoto inawezekana kabisa ila ukiashaamka utabaki na kijiba cha roho na wivu wa kike!
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Kijana una hasira na njaa kali.
  Ila kumbuka hasira za mkizi nafuu ya mvuvi, hasira hasara.
   
 10. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Amani ipi unaiongelea,...
   
 11. B

  BigMan JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  labour na conservative mbona mmoja akichukua nchi wanachama wa chama kingine hawahami ?ukiingia madarakani mahakama zipo kama kuna mwenye makosa ni kumfikisha kunakohusikana hakuna haja ya kuleta machafuko nchini tanzania
   
 12. w

  wakijiwe Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maana ya demokrasia si kuuana na utakuwa wa ajabu sana kufanya unyama huo..... chakufanya baada ya kupata dola unaionesha nchi mabadiliko ya kweli na kuwapa wananchi yale waliyokuwa wanayahitaji ili nao waone donge
   
 13. S

  SAIDALI Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pumpavuu wee , kazi ya wizi usha acha?? Watu wanataka mabadiliko kwa amni wewe unaleta usomalia hapa.. Wewe ndo utakuwa wa kwanza kuhama nchi , kwanza sijui kama utafika hiyo 2015 maana kazi yako ni ya hatari
   
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  wewe ni she? magamba kwa mipasho hamuwezekani, eti kijiba cha roho teh teh teh...
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  misri wamekataa wafuasi wa mubarak kugombea,jee haiwezekani katiba mpya kukataza wana ccm kugombea cheo chochote?
   
 16. K

  Kakubilo Kasota Senior Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkubwa, unauhakika kama Zitto na Mnyika wamewahi kuwa ccm, ninachofahamu, Zitto kajiunga na CDM akiwa na umri wa miaka 16 tu, huyu kakulia hapo, the same na Mnyika wote wamejiunga na chama wakiwa bado Teenagers, labda ulikuwa una maana hii, kabla ya mfumo wa vyama vingi kuingia, yaani before 1992, ukimaliza tu darasa la saba, unapewa kadi ya UVCCM then ukimaliza Secondary tu unakuwa mwanachama wa CCM in AUTO, hawa wamekilia kipindi cha mageuzi tu.
   
Loading...