Heko madiwani wa Halmashauri ya Muleba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heko madiwani wa Halmashauri ya Muleba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaijabutege, Apr 17, 2012.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nilifurahi sana jinsi madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba walisvyoshikamana kuipinga bajeti iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Wilaya. Walidai hawaipitishi kwa sababu kiasi kikubwa kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ambayo yanawanufaisha watendaji wa halmashauri; na kiasi kidogo ndicho kilitengwa kwa ajili ya maendeleo.

  Mama (Mkurugenzi) alimwaga chozi na kuamuru watendaji wa halmashauri watoke nje.

  Itapendeza kama madiwani wengine wataiga mfano huu mzuri.

  Source: ITV
   
 2. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Muleba wameonesha njia, ambayo kila mara watz, waliikosea ndo tukawa fukara ile hali nchi ni tajiri. Bravoooooooooo
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mama Tibaijuka 2015 anaondoka maana hakuna cha maana alichofanya

  Barabara zote mbovu sijawai kuona tokea apewe ubunge hajafanya kitu
  Muleba, Nshamba na Rubya Barabara mbovu cjawai kuona

  Mama alikuwa amato ahadi ya kutengeneza barabara ya Muleba-nshamba to RUbya then kuelekea buganguzi
  lakini alipokuja Juzi akaulizwa ilo swali alikana na kusema sijawai kuahidi hiyo barabara

  Mama anaisha DAr anaongoza jimbo kwa REMOTE
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  uzalendo namna hii tutafika, mambo yanabadilika na mwisho mtanzania atakombolewa tu , Big up , kwa wanasiasa wazalendo ,
   
 5. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pongezi sana kwao hapo wameonyesha wapo hapo kwa ajili ya wananchi naunga mkono.
   
 6. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Pale kuna mbunge wa Muleba kasikazini Mr Chaarles Mwijage nashangaa kwanini yuko CCM. Yeye alikataa boti waloleta kiufisadi mbele ya waziri. Mkuu wa wilaya anakula sahani moja na mkurugenzi kuleta ufasadi ndani ya Muleba. Kinachosikitisha zaidi ni suala la ubabae na unyama unaofanywa na wahamiji dhalimu toka rwanda. Huyo mkurugenzi na mkuu wa wilaya wanajua kila kitu lkn hakuna hatua zozote. Madiwani wakisema wanakuwa na wkt mgumu. Cjui Tibaijuka atakuja na sera gani next tym. Lbd aibe kura vinginevo ?
   
 7. e

  evoddy JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sasa wakati umefika kwa wanamuleba tunaoishi nje ya Muleba kwa sababu za kulijenga Taifa, tuanze mchakato wa kuikomboa muleba yetu hasa kwa vijana kuanza kuchukua nafasi za uongozi 2015 tupate kijana nje ya magamba atuwakilishe bungeni CHADEMA ni wakati wake
   
 8. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Adui mwombee njaa na mnyime chakula kabisa,atasurender tu
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kuna wahaya wako DAR wameanzisha movement ya kujua ni kwanini wahaya hawavumi kielimu miaka ya karibuni, nawashauri warudi nyumbani sababu tiba imeishapatikana sasa.
   
 10. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TUMEWAONA na tumedhihirisha kuwa MMEONEKANA. Kazeni uzi nchi hii inataka watu kama nyie kuikomboa, tulipofikishwa si pazuri tena. Wananchi wanakosa huduma muhimu, viongozi wanarandaranda hovyo nchi za watu bila huruma ya fedha zinazotumika.
   
 11. M

  MUGUNDA Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  kweli madiwan wameonesha njia na mfano bora sana, huyu mama Tibaijuka alikurupuka sana kisa mtandao wa kumtoa Masilingi kitu ambacho kilifanikiwa, alikuwa hajajipanga kwa lolote kabisa. si tuliokuwepo tuliona namna pesa zilivyotembea na kufanikisha hata kutopata mgombea mweza, alivyo wahonga mwenyekiti wa wilaya ya na wengine ili DK Slaa asitue hapo uwanja wa Nshamba Tapa na Helkopta akatua Busanda akidhan ni Nshamba. mengi yalifanyika sana yan. matokeo tumeanza kuyaona.
   
 12. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kweli mkuu, niliangalia itv na inatia moyo. mbegu za mabadiliko zinaanza kuota na muda sio mrefu zitatoa matunda maana hiyo wilaya siku za nyuma hakuna mtu aliweza kujua ni nini kilikuwa kikiendelea huko halmashauri na ukichukulia geografia ya mji jinsi ilivyo. Kilichotokea hapo awali ni 'mamilionea' kutokea huko lakini kwa hili nililoliona jana huenda heshima ya wilaya hiyo ikarejea.

   
 13. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hawa wanafiki tu. Walipitisha tena kwa kumuomba radhi ded!
   
 14. k

  kamanda wa anga Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mwanzoni nilidhani wana muleba wote wameamia ccm! kumbe mpo? cha msingi tushikamane kuwatoa wabunge hawa wamechoka sana. diwani wa kamachumu nasikia ni kibaraka katusaliti tuliyomtuma. Mwijage ni suala la muda tu harudi tena.
   
 15. k

  kafugugu Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nashanga bukoba ni mkoa ambao unongoza kwa wasomi lakin hawajitambui sijui kwanin labda kwenye jimbo la ndasa inamaana hata oparation sangara haikueleweka tuonyesheni njia mlio elimika mnashindwa hata na mara au ndio wasomi waoga mnaelimu hamjui kuitumia
   
 16. K

  Kitungamirwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Namkubali jembe Kaganda wa kata ya Ngenge(Chadema) maana anawatetea wananchi wake vilivyo. Hawa wananchi wamenyanyaswa sana na wahamiaji haramu kutoka Rwanda na kuwanyang'anya ardhi yao lakini tangu huyu jamaa aingie madarakani vitendo hivi vimepungua
   
 17. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,893
  Trophy Points: 280
  Kamanda Tibaigana anajiandaa kuvaa gwanda huko Muleba! Hebu kwanza tusikie ataamuaje rufaa ya Yanga leo!
   
 18. b

  bagi JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 816
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 60
  kabisa mbunge inabd akazane hasa barabara rubya nshmba muleba
   
 19. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hata bila rufaa, we unamuonaje huyu bwana na uwezo wa kutatua matatizo yaliyopo! ...tujifunze kupitia njia tunazozijua hata kama ni ndefu kwa kuonekana badala ya 'short cuts' tusizozijua mkuu

   
 20. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,635
  Trophy Points: 280
  Tibaig ni muoga kuvua gamba, Nilishasema huyu Mama hatufai kabisa wakabisha sasa leo ona mwenyewe.
   
Loading...