Mawaziri matatani kwa kununua ndege mbovu ya rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri matatani kwa kununua ndege mbovu ya rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 17, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  1. Ni ndege ya rais wa Kameruni


   [​IMG]
   Rais Paul Biya na mkewe Chantal[​IMG]
   Heri marais wa kiafrika wawe na ndege kama hizi ili kupunguza gharama na utapeli
   Mawaziri wawili nchini Kameruni wamejikuta matatani baada ya kugundulika kuwa ndege waliyonunua kwa ajili ya rais wa nchi hiyo aina ya Albatross kumbe ni ya zamani ingawa wao walisema ilikuwa mpya. Ndege hiyo yenye thamani ya dola 31,000,000 ililazimika kutua ghafla kwenye safari yake ya kwanza ya uzinduzi huku ikiwa imempakiza rais Paul Biya na mkewe Chantal. Waliotiwa nguvuni ni Marafa Hamidou Yaya ambaye alikuwa waziri wa mambo ya ndani na Chief Ephraim Inoni a aliyekuwa waziri mkuu wa zamani. Ingawa rais Biya anasifika kwa uhovyo wake, angalaua amewakamata mafisadi wenzake tofauti na Tanzania ambapo si ajabu hata huu mdege wetu wa rais nao ni mkangafu kama ule wa Kameruni. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,808
  Likes Received: 3,892
  Trophy Points: 280
  huu mkangafu wa cameroun una nafuu lile la jk mbona lilikuwa lipo kwenye mawe siu nyingi??
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Usijali hata wetu tutawakata tu, ipo siku inakuja tena siyo mbali sana. Tutaanza na mzee wa utandawazi, Pesambili, AG mstaafu nk.
   
Loading...