PONGEZI KWAKO WILLIAM J.M kwa uthubutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PONGEZI KWAKO WILLIAM J.M kwa uthubutu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Apr 17, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Pole sana Mkubwa angalau umejaribu kuona Ugumu na Uraisi wa ulichokiwaza na kukifanyia kazi.
  Nakuomba Ujitokeze utoe shukran kwa ulipofikia,waswahili husema MWANZO MGUMU.
  Mungu awe nawe.
   
 2. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Umejaribu, umeweza lakini kura hazikutosha, tuendelee kumkoma nyani kama kawaida, hongera kwa kujaribu.

  Respect sana mkuu.
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Napenda nikupongeze kwa uthubutu wako....!jf kuna kelele nyingi lakin wathubutu wanaoweza kuweka nia zao public kama wewe hatujawah kuwapata zaidi ya mh regia(rip) na mh mnyika...!

  usikate tamaa!....just be strong and of good courage...!mungu atajibu kwa wakati...!kila jambo na wakat wake.

  nakupongeza kwa kujaribu...so far haya ni majonzi ya jf...!hakuna jf member aliyepenya kwa mujibu wa records za mkuu wa jamvi.

  tuko pamoja william!......


  stay blessed!...

  you are my nr one fun!....(though niko chadema).lakin nakukubali zaidi ya huyu mgombea wangu aliyefeli zaidi....smbdy komu
   
 4. GodFather

  GodFather Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  very true
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  true..................
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ila asikate tamaa ajifunze kutoka kwa wanasiasa kama Banji Shyrose.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...