Fact: Tanzania's number one problem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fact: Tanzania's number one problem

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by status quo, Apr 17, 2012.

 1. status quo

  status quo Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Let me start by quoting the the 40th president of United States, Ronald Reagan " Freedom prospers when religion is vibrant and the rule of law under God is acknowledged." mara nyingi watanzania tumekuwa katika sintofafahamu juu ya utendaji wa viongozi wetu, lakini ni wazi kuwa utendaji mbovu huu wa viongozi ni kutokana na tabia ya kukosa hofu ya MUNGU na uovu walionao viongozi wetu. viongozi wengi katika nchi hii ni walevi kupindukia, wazinzi, waongo kupindukia wala hawana hata chembe ya hofu ya MUNGU, tazama mifano hii michache.· Naibu Waziri kaibiwa hotelini na kahaba.· Ngeleja kabomoa mabango ya FBGF kwa hila.· Polisi wapiga mabomu madhabauni efatha.· Makamba katoa vitisho kwa maaskofu.· Magari ya serikali yashinda bar.· Matusi, kashfa na uongo wa kutisha katika kampeni.· Na mengi mengineyo. Kwa haya yote sina budi kusema lack of God fearing people in our government is tz’s number one problem.
   
Loading...