Siamini- CCM imekuwa kituko haraka namna hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siamini- CCM imekuwa kituko haraka namna hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 14, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ktk Kipindi kinachoandaliwa na Adam simbiye kinachorushwa na TBC, niliona na kusikia hali ya kushangaza. Achilia mbali mizaha ya Dr Rwaitama,macho yangu na akili yangu ilikuwa kwa Tendwa.

  Nilikuwa nasikiliza na kuangalia kwa makini km Tendwa alikuwa akiongea yale yote kwa kuhofia kuwa kituko, au ndio kapata ujasiri against CCM km walivyo wananchi wengi, au ndio mwendelezo wa habari za unafiki ilibaada ya kuachia apewe shavu CCM.Bado sija establish the true picture.Ila nilichoona ni kuwa wote walikuwa wanakejeli panic ya CCM pale Arumeru. wote waliona jinsi gani CCM waliingia ktk deadlock na hawakuwa na kufanya.Waliongea ni jinsi gani nchi nzima walibanwa ,ingawa moderator alikuwa akizimisha Kila Prof Baregu alikuwa akichomekea mashambulizi na uhuni mwanza.Wote walionyesha kuwa CCM wanajua hawana tena hakika ya uchaguzi wowote.

  I cant believe mambo yanavyoenda haraka na CCM ikiwa ni mwathirika.Nashindwa pata picture, itakuweje kwa wabunge ambao bado hawajaona hali hii mashaka na wapo tayari tayari kuingia ktk kura za maoni kwa gharama ya mamilioni ya kutosha wafilisi halafu wanaenda ktk machinjio ya wananchi.Nashindwa elewa km hakuna chama mbadala CDM wataweza wapa rescue watakao defect?nashindwa elewa km Tendwa, na Kiravu atawapa surprice wakishindwa uchaguzi kwa kuwapa jibu ambalo hawakulitegemea?
  Ninachoona ni kuwa CCM watasalitiana sana, na waliojiingiza kichwakichwa wanaweza jikuta wakishtakiwa kwa makosa ya mbalimbali ya mauaji na ukatili kwa raia.Hasa wale ambao wanamini kuwafurahisha wakubwa iili wapate mlo ,ndio watajikuta kuwa wakubwa zao hawana majibu. mfano ni Pinda kushindwa toa majibu,kwa maswali ya Mbowe, Mkulo kwa Zitto na hata Mnyika alivyoweza mtoa mwanasheria wa serikali Jasho bungeni kwa michango yake.Wapo wabunge wanasheria wengi ndani ambao hawakuona chochote cha kurekebisha ktk zile sheria,Ila Mnyika aliona.Na si michango yote ya Mnyika mwanasheria alikubali kirahisi,hii inaonyesha kuwa naye bado nahitaji pata challenge na kuamshwa.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Haramu ni haramu 2 so hamna haja tena ya CDM kuwaza ni jinsi gani tutapata kura nyingi 2015 bali tunatakiwa tuweke mikakati ya jinsi tutavyoweza kuleta mabadiliko baada ya kuitoa CCM 2015 kwani umbumbu wa viongzoi wa CCM na ugumu wa maisha ndio utakaoamua hatima haya hiki chama mufilisi CCM.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kasoro wewe
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Haha...got mad?Better get ready.....Hata JK km atampitisha mjukuu wake sehemu kunapigwa Peoples Power anaweza mwona anavyopagawa.km unabisha ipige home.Halafu tafuta za Komba piga km hukuona mtoto anakuelekeza upige upi.No doubt utakuwa wa mwisho....Utakutwa kama yule waziri wa habari wa Iraq
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM ikifa tutakuwa tumepata UHURU. CHADEMA yaja 2015 kutupa uhuru!
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Chama Cha Mahuni
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Vijana wa CDM mjini wanasema wanaitamani Monduli,wakitaka mbmbeleza mwenye jimbo aende ktk urais.Ili wakati wanachukua jimbo wawe wanamlipua ktk urais kwa makombora mabaya kabisa.Je hii itakuwa lastfrontier?
   
 8. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mwaka 2015 ndio utakuwa wakati muafaka kwa wanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI, chama kisicho na Wanamapinduzi na ambacho hakiamni wala kusimamia Mapinduzi yoyote isipokuwa Mapinduzi ya kuleta maisha bora kwa watawala,na familia zao,hakiwezi kukaa na kutathimini faida,hasara na changamoto za siasa za kimtandao.
  Hadi sasa wamelewa chakari ulanzi wa madaraka na ndoto kutawala milele.
   
 9. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  kwenye marekebisho ya daftari la wapiga kura mkakati mkubwa watu wakajiandikishe kwa wingi tuweze fikia malengo ya ukombozi 2015
   
 10. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chama Cha Matusi (Lusinde) kinaelekea kufa tuunganishe nguvu kuhakikisha kinakufa kabisa!!!!!!!!!!
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Now wazee wameikubali hali kwamba CDM ni chama makini na vingine na wanaisikiliza kwa makini habari ya Kuhama kwa kijana arusha zaidi ya habari za akina nape kuwa dogo ni gamba..
  Bado SSM wa propanganda za cold war ambazo vinatumia vijitu vya north korea.Vinaua watu njaa halafu wanarusha Kikombora kilicholipuka minute kadhaa.halafu vilikuwa vinadai vipo tayari muadhibu yeyote atakayezuia urushaji wao.Km vile walikuwa tayari kufa kwa wasichokuwa na hakika nacho.

  Nape yupo tayari kuongea chochote akidhani anaweza ku influency matokeo au hata ku minimize damages.Bora Makamba Sr na udhaifu wake alishawahi mwambia tambwe asitokee ktk kampeni kwani hali ya hewa ingechafuka, kwa usaliti wake na uwezo wake mdogo wa kushawishi watu wenye at upeo unaoongozwa na common sense.Au hata kujizua au kuweza jibu provocative questions.
   
Loading...