Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Mawaziri waliotuhumiwa wapo, wapime na waamue jinsi gani watamwokoa Waziri Mkuu, Mimi nitakuwa wa mwisho kupiga kura kumwondoa Mhe. waziri Mkuu, ni mapema mno kumhukumu Mhe. Waziri Mkuu wakati...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari za Ijumaa waungwana, Nauliza, hivi ni mimi tu ndo sikupata bahati ya kusikiliza kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu bungeni Alhamisi jana, ama ni kweli kwamba jembe langu Joshua Nassari...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Wana jf nimesoma leo kwenye gazeti la Tanzania daima ambapo aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbless Lema amewashauri madiwani,wabunge,mawaziri wa CCM wahamie CHADEMA kabla safina haijafungwa. Lema...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana akifunga Mjadala wa hoja ya Kamati yake Bungeni, Muheshimiwa Ryatonga Mrema huku akizungumza point kuanzia mwanzo mpaka mwisho, kwa namna ya kipekee kabisa akionyesha namna Serikali hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hadi leo ni siku wiki mzima watu wanaigana!!!! Wew hauonekani, jiuzulu!!!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Toka kuchaguliwa kwao uongozi wa BAVICHA na BAWACHA wamekuwa kimya sana kiasi cha kutukatisha tamaa sisi wasahabiki wa CDM. Inashangaza sana kuona kila jambo hata la kuhakikisha CDM inajijenga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM. My take: Inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee...
1 Reactions
96 Replies
12K Views
Wana JF nina dhani kama kweli kuna kuweka saini kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu basi hawa wata saini Deo Filikunjombe Alphaxad Kangi Lugola Ali mohaned Kessi Weston Zambi Esther Bulaya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
Wabunge wameanza kikao cha Jioni kujadili taarifa za Kamati tatu za Bunge, Kamati ya Hesabu za Serekali, Mashirika ya Umma na Serekali za Mitaa. Jumla ya Wabunge 51 wameomba kuchangia...
13 Reactions
659 Replies
51K Views
Inawezekana kuna laana katika nchi hii. Tuchunguze ili tujue tu kuwa, laana hii tumelaaniwa wananchi au nchi. Hata hawa wabunge wa CCM wanaopiga makelele kupinga ubadhirifu wa mali ya uma ni...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Naomba kuuliza, je waziri mkuu hajaitisha kikao na wabunge wa CCM ili kuwashawishi wasipige kura ya kutokuwa na imani dhidi yake? Tumezoea kipindi cha bajeti huwa anawashawishi, hasa pale bajeti...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Napenda kutoa ushauri kwa wana CCM kuwa huu ni wakati ambao tutajilaumu na kuwalaumu wengi baada ya kupoteza jimbo la Arumeru Mashariki. Huku tukituma timu nzito. Tunaweza kulaumiana kwa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
kabla ya kuwa mawazir walikuwa wabunge nataman kujua walilipwa mishahara na bunge au na wizara zao au wanakula kote kote mishahara mpka posho. nchi hii haiminiki maana posho za jairo wazir alikuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maoni ya katuni Kuzidi kuongezeka kwa biashara ya dawa za kulevya na ongezeko kubwa la vijana wanaozitumia ni mambo ambayo kadri siku zinavyokwenda inakuwa ni janga la taifa kiasi cha kuhitajika...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Ndugu wana JF wakati JK anafanya kampeni za urais mwaka 2005 nilivutiwa na mwonekano wake pamoja na kauli mbiu yake ya maisha bora kwa kila mtanzania. Nilikuwa na imani kubwa na ile kauli mbiu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Juzi Bunge liliwachagua wabunge tisa watakaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katika uchaguzi huo uliokuwa na ushindani mkali, wagombea hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutakuepo na mkutano mkubwa wa hadhara ktk viwanja vya mkigusha bkb mjini! Agenda: Ufisadi ndani ya halmshauri ya bkb
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ningekuwa ndo mimi huyu prof ningefanya maamuzi magumu ya kuhamia CDM. Nafikiri hana sauti wala maamuzi kwenye chama chake sababu hata ile aibu alioionyesha yule mama aliyegombea nafikiri ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anasema kitendo cha uongozi wote wa juu, mawaziri na viongozi serikali kukimbia bunge na kuacha watu watano kwa ajiri ya kulinda nafasi ya chama ni aibu sana. Anasema hiki kitendo ni sawa na...
5 Reactions
100 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…