MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Nimefuatilia na kugundua Rais JK anafuata mfumo wa uongozi makini ambao unashirikisha taasisi mbali mbali za uongozi na maamuzi ndani ya serikali.
Mfumo wake wa uongozi unatoa maamuzi yanayotokana na uchunguzi/utafiti wa jambo kusudiwa; mfano Lowasa na kundi lake waliondoka kutokana na uchunguzi wa tume ya Richmond.
Leo hii uchunguzi wa CAG na kamati za bunge umehitimishwa kwa mawaziri kujiuzulu na chama chetu, CCM kujisafisha tukielekea uchaguzi wa ndani mwaka huu.
Kuna kila dalili ifikapo 2015, CCM itakuwa safi na kimbilio la wanyonge, vijana na akina mama nchini mwetu.
"UIMARA WA CCM, NI UIMARA WA TANZANIA"