Siri ya azimio la arusha na linalotokea leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya azimio la arusha na linalotokea leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulenje, Apr 21, 2012.

 1. Ulenje

  Ulenje Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mazumuni ya AZIMIO yalikuwa ni kupata viongozi bora kama utakumbuka wakati wa azimio ilianzishwa LEADERSHIP COURT ya kusimamia tabia ya viongozi na kuwawajibisha pale wanapokosea lakini kilichokuja kutokea na kufutwa kwa azimio hilo kwa maslahi ya wachache kipindi cha azimio la Zanzibar na MKAPA akaja kumalizia, kwa kushilikiana na taasisi za nje kama IFM na WB,Sasa anachokifanya ZITTO ni kutekeleza azimio na ni kuashilia uzalendo kwahiyo wabunge wetu tuendeleze mwendo huo huo mpaka kieleweke hata KARL MARX hakujua kuwa COMMUNISM itakuja kuwa ya kwanza duniani hivyo msikate tamaa kubadilisha hii nchi INAWEZEKANA ila ANGALIZO msifanye hayo ili kutaka UWAZIRI toka kwa JAKAYA bali kuweni na nia iliyopo ndani ya ZITTo na wazalendo wote.AZIMIO LA ARUSHA NI BORA LIKIREKEBISHWA NA KUBORESHWA EBU TUACHE UMIMI
   
Loading...