Kama kuna mtu CCM inayemlaani basi atakuwa CAG! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kuna mtu CCM inayemlaani basi atakuwa CAG!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Losambo, Apr 21, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Chama cha Mapinduzi bila ya shaka kipo msambweni,

  1.0 Kukimbiwa na makada wake, madiwani, mwenyeviti na mwanachama bila kusahau wafuasi ambao walikuwa na mapenzi na CCM lakini siku hizi hawana tena!!!!!

  2.0 Hiyo yote tisa, kumi ni ripoti ya CAG ambayo imeibua madudu mengi sana ambayo yamewagusa wengi ambao hatukuwatarajia!!!!

  Hili ndilo kubwa ambao limeitikisa CCM baada ya wabunge hasa wa upinzani kukomalia hapo. Jambo hili ndilo linaloweza kuwa na athari kubwa tokea chama kianze.

  Hii itakuwa na ukweli hata kama mawaziri wanatarajiwa kujiuzuru wasipofanya hivyo kwani mpaka hapo chama kimeahapoteza mvuto mkubwa kutokana na mambo mengine lakini hilo la ripoti ya CAG kupigilia msumari kwenye jeneza.

  Na kama CCM hakitakuwa makini kitashindwa kabisa kujinasua atika mtego huo basi ni wazi hakitaweza kufanya mikutano ya hadhara ambayo ilizoeleka kwa ajili ya kukinadi chama kama wenzao CDM wanavyifanya.


  Kwa kumalizia katika yote bila ya shaka CCM watakuwa wanamlani sana CAG kwa kugongelea nyundo ya mwisho!!!!

  Binafsi nampongeza sana CAG kwa kufanya kile alichotakiwa kufanya na kukwepa aibu kama ile ya Jairo.

  Ni mtazamo tu,
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwenye sakata la jairo wabunge walimtolea azimio CAG kuwa awajibishwe.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Safari hii kaweka taaluma mbele mkuu, kawatupilia mbali wanasiasa ambao hawana shukrani!

  Wakina Zitto na Deo bila ya ripoti ya CAG labda tungekuwa tunazungumzia suala moja tu la TBS ambalo lenyewe lilikuwa wazi.

  Mkulo kaitwa mwizi ni kutokana na CAG.
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Congrats Ludovick Utto, umeonesha uzalendo kuwaumbua mabazazi. Big-up sana kiongozi.
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sijui hawakudesa ripoti hii safari hii kama walivyofanya hukumu ya Lema na kuanza kuilikisha mtaani mapema?
   
 6. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hata huyu CAG amesoma alama za Nyakati hasa baada ya report ya Jairo Kumuumbua ndio maana safari hii ameamua kutotumika tumika vinginevyo angeumbuliwa tena na wapinzani na kupoteza kabisa sifa yake ya uhasibu... haya mambo ya CAG kuweka mambo au report zilizonona safari hii ni baada ya kuumbuliwa katika report ya jairo na tuombe tu aendelee kuwa mkweli katika kila sehemu hata katika serikali ijayo iwe ccm , chadema au iwe serikali hiyo ikitokea mabwepande, pemba au nyumbani kwa wanamageuzi Arusha...
   
 7. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135

  Hakuwa na jinsi ila kufanya kazi sawasawa na taaluma yake. Ripoti aliyoitoa wakati wa saga la Jairo iliidhalilisha ofisi yake, yeye mwenyewe na taaluma nzima. Kazi aliyoifanya sasa imerudisha kwake, kwa ofisi yake na kwa taaluma nzima.
   
 8. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Labda hakupata mgao kwenye lile deal la akina Jairo na Luhanjo!
  Sasa kaamua kurudi kwenye taaluma yake....
   
 9. Mazee

  Mazee Senior Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HIII NI TWEET YA JK SOME MINUTES AGO ON TWEETER

  Jakaya Kikwete ‏ @jmkikwete

  Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zitaendelea kuwa wazi kwa Wananchi wakati wote.
  LAKINI JE TUJIULIZENI HAYA

  MOSI
  KAMA KWELI HAWA JAMAA WATAJIUZULU KAMA INAVYOONEKANA, CCM INA WATU GANI WENGINE WENYE UWEZO WA KUONGOZA WIZARA HIZI? SISEMI HAWA WALIOKUWEPO WALIKUWA WANAFAA, LA! HAWA JAMAA WALIONEKANA HOPELESS TANGU MWANZONI MWA UTEUZI WA JK KWANI MANY OF US WERE PESSIMISTIC.

  PILI
  HIVI INAKUWAJE JK ANATEUA VIONGOZI WENGI AMBAO NI VERY INCOMPETENT? NA KATIKA CABINET LAKE NI MAWAZIRI GANI WENYE UWEZO AMBAO WALITEULIWA NA JK YEYE MWENYEWE WALE AMBAO HAKUWACHUKUA TOKA SERIKALI ALIYOIKUTA? NA JE TUNA UHAKIKA/IMANI GANI KUWA JK SASA ATATEUA MAWAZIRI WENYE UWEZO?

  TATU
  JE NINI TAFSIRI HALISI YA UWAJIBIKAJI? KWELI KUTAKUWA NA UWAJIBIKAJI UNAOTAKIWA KATIKA HILI SAKATA? KWANI TULIYOYAZOEA HAWA WANENE/MAWAZIRI NA WENYE PESA HUWAJIBIKA KWA KUACHIA NGAZI NA LABDA KURUDISHA PESA MAANA WAO WAKO JUU YA SHERIA, SASA BUNGE LIKIFANIKISHA KULAZIMISHA HAWA JAMAA WAJIUZURU BILA KUSHITAKIWA DHANA YA UWAJIBIKAJI ITAKUWA IMETIMIA NA BUNGE LITAKUWA LIMEJIJENGEA PICHA GANI KWA WATANZANIA......
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  aah mkuu amelonga nini sasa gapo hii pumba tuu hata angetaka angeficha tuu hiyo report!
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo safari akaona afyatulie mbali kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeh!!!
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu umesema vyema maana kama hawa wakiachia ngazi kweli sijui ni kina nani watachukua nafasi maana ni kama hakuna ukitoa Jembe Deo Filikunjombe labda na January Makamba maana amekuwa akihusihwa na kuulilia uwaziri toka kitambo.
   
 13. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  MAZEE umesema sawa kabisa!
  Hata hao mawaziri "wapya" watateuliwa kwa mfumo ule-ule tu wa fitna za kina Ridhwani na kujuana.
  Ikulu imeoza, haina uwezo wa kuteua watu wenye uwezo kiutendaji na hata ikiwateua haitawaacha watende kazi kama inavyotatikana.
  Full kupotea yaani, hamna kitu hapa bila kuanza upya.
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  CAG alipewa meno ya chuma na baraka zao kutosha toka kwa jk juzi pale alipomkabidhi yale makabrasha ya ripoti za ukaguzi. Hana wasiwasi na anachokifanya. Na jk anajua yanayotokea na yatakayotokea. Katika semina elekezi alinawa mikono mbele yao kwa kuwaambia kila mmoja apime na aamue! Sasa wakachukulia poa na sasa yanawakuta
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  jmkikwete
  Katika kila jambo, simamia haki na timiza wajibu wako kwa umakini na nidhamu ya
  kiwango cha juu kabisa. 29 minutes ago  Maoni yangu:
  Hili ni dongo kwa hawa wanaobabaika na kufanya maamuzi magumu wakiongozwa na Pinda. Ujumbe mzuri wa leo
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hayo ndo mambo ya professinalism!Ni integrity + objectivity!
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  I like this, man! Ni samaki gani yule anayejikaanga kwa mafuta yake?
   
 19. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Ni ujumbe toka kwa ........... au ujumbe kwa ..............?
   
 20. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  ameutoa wapi?? unajua kipindi hiki taifa lipo tete sana kisiasa sasa toa taarifa z maana acha kusumbua watu!!
   
Loading...