Jaji aliyetoa hukumu kesi ya lema apewe kesi za wizi wa mawaziri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji aliyetoa hukumu kesi ya lema apewe kesi za wizi wa mawaziri.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mujungu, Apr 21, 2012.

 1. mujungu

  mujungu Senior Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama aliona makada watatu wanahaki kuliko wapiga kura zaidi ya 50,000 . Hapa anaweza sema mawaziri wanahaki kuliko watanzania zaidi ya 40milioni na wanafunzi wanaokaa chini, shule za kata zizsizo na walimu wala maabara..................
   
 2. S

  Sobangeja Senior Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hivi jaji Rwakibalira huwa anasoma kweli mtandao huu? Hukumu aliyoitoa dhidi ya Lema kutokana na shindikizo la magamba itaendelea kumdhalilisha hadi atakapo kwenda kaburini!!!!heshima yake imeshuka sana!!!!!!!
   
 3. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Ikiwezekana tupate picha yake na Wasifu wa Jaji Rwakibalira.
  Historia yamtu mara nyingi hudokeza mwenendo wake.
   
Loading...