Je wawajua wajarawa waafrika wanaofanyiwa utalii India? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wawajua wajarawa waafrika wanaofanyiwa utalii India?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 21, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3]Chanzo: mpayukaji blog[/h]

  [​IMG]


  Kila siku dunia inalaani ubaguzi. Kila siku Afrika inakaribisha kila aina ya wageni wakiwamo wezi, matapeli hata waliokuwa wema. Lakini ndugu zetu wenyewe wanateseka na kutenzwa kama wanyama na hakuna anayejali. Leo Televisheni ya Al Jazeera ilirusha kipindi kinachoonyesha kabila la wajarawa wakifanyiwa utalii kama wanyama huko India wakiwa uchi wa mnyama na kuishi kama hayawani. Inasikitisha sana kuona Afrika inavyowakirimu wauaji hawa bila kujua kuna siku watarudisha biashara ya utumwa. Hapo juu ni picha pekee inayotazamika ya wajarawa. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA na HAPA.
   
 2. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Dah, niliwahi kusikia habari za hawa watu sikuzielewa vizuri. Kumbe hii ni kweli chungu kwa bara hili. Tungekuwa na umoja angalau wa kisiasa tu tungewafurusha wahindi wote. Lkn watawala wasiowajali hata raia wa nchi zao wataguswaje na hili??
   
Loading...