Madiwani Kibao Monduli kuhamia Chadema kesho - Daily News

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Kulikuwa na mjadala hapa kuhusu Julius Kalanga kuhama au kutohamia chadema. Sasa imedhihirika kuwa alikuwa anasubiri kukusanya kundi la madiwani wa monduli ambapo kesho watahamia chadema. Maandamano makubwa yatafanyika kutoka monduli kwenda mjini Arusha kutangaza rasmi. Yeye mwenyewe ndie amezungumza na daily news.

Source: Daily News uk wa 6. Huwezi amini daily news imekuwa ya kizalendo inaweza kuandika habari kama hizi na hata ya kuhama wanachama 2400 kwenda chadema wameiandika. Kivunjwe chama cha majambazi!
 
Hili lilikuwa wazi ya kwamba itakuwa hivyo!

Na kama juzi siyo mambo ya Kiintelejensi mzee mzm EL hata naye angeshatoa maamuzi mzito na bila shaka hili ingeporomoa sisiem mpaka makao makuu.

Na hata hivyo hili linaweza fanyika muda wowote kuanzia sasa.
Tusubirie kidogo tu!
Huyu Kalanga alikuwa kichwa ndani ya ccm na imefika wakati wa kutua mzigo wa dhambi!
 
Kulikuwa na mjadala hapa kuhusu Julius Kalanga kuhama au kutohamia chadema. Sasa imedhihirika kuwa alikuwa anasubiri kukusanya kundi la madiwani wa monduli ambapo kesho watahamia chadema. Maandamano makubwa yatafanyika kutoka monduli kwenda mjini Arusha kutangaza rasmi. Yeye mwenyewe ndie amezungumza na daily news.

Source: Daily News uk wa 6. Huwezi amini daily news imekuwa ya kizalendo inaweza kuandika habari kama hizi na hata ya kuhama wanachama 2400 kwenda chadema wameiandika. Kivunjwe chama cha majambazi!

Kivunjwe!!
 
Hii inatoa picha kuwa Mhariri mkuu wa Daily News hayupo kambi ya Lowassa, inawezekana yupo kwa Sitta ama kwa Membe.
 
Now is believe Lowassa is in his way to CHADEMA. Amewatanguliza vijana na hapa inaonyesha in systematically planned. Nataka niamini kwamba inner circle ya CHADEMA inafahamu kinachoendelea. Lets wait and see sitaki ku- pre empty sana.
 
Every man for himself and God is for us all. God bless Tanzanian, God bless Tanzania
 
Gazeti la Daily News linajitahidi, hata siwezi kulilaani kama gazeti Uhuru, lililojaza fikra mgando kwa wadanganyika kwa miaka mingi na RTD yake.
 
M4C hadi dailynews na Habari leo .God is always good
haki inaweza kucheleweshwa tu kamwe si kuibiwa.

ukiinuliwa na wanadamu wanadamu watakusha tu,ukiinuliwa na mungu juu nila zima utakuwa juu-bahati bukuku.viva chadema.
 
Msome Julius Kalanga kwenye fb yake

Ndg na rafiki zangu tangu rafiki yangu kipenzi James Ole milya ahamie chadema baadhi ya watu wamekuwa wakinihusisha na kutaka kujua msimamo wangu.kwanza nikiri kuwa niliumia sana james kuondoka na sio kwasababu amehama bali kwa kuwa ameniacha mwenyewe na kwa wakati ambao nilihitaji nguvu yake ktk kuijenga chama na jumuiya.
pili.nisema pengine zipo sababu za msingi zilizomtoa james ccm na hata mie ...nakiri ktk mkoa wetu yapo matatizo makubwa ndani ya chama na tumekuwa tukipinga kila aina ya upendeleo uliopo unyanyasaji na uonevu wenye sura ya matumizi mabaya ya madaraka na dhamana ya. uonhozi unaotumiwa na baadhi ya viongozi kwa kukomoa au kuficha dhambi zao.
lakin bado naamini yanaweza kuisha.
tatu nimalizie kwa kusema Kwa SASA.BADO NIKO CCM na ni mwaccm hai.lakin nitaendelea kupambania maslahi ya vijana na usawa na haki ndani ya ccm.
nne.siwezi kuhama kwasabbu ya mtu bali nitahama kwa utashi wangu maana sikulazimishwa na mtu kuja ccm na sipo ccm kwa ajili ya mtu niko kwa sababu ya ccm yenyewe na siamini km kuna anaweza kunitaka kuondoka au kubaki.
Pia nawaomba viongozi wangu kuacha kutoa kauli za kukejeli watu na wanachama ktk kipindi hiki kauli hizo za kejeli zitazidi kiibomoa ccm na kuongeza hasira kwa wanachama.naomba waige kauli ya chiligati ya leo ktk mwananchi.

mwisho nampongeza james kwa uamuzi wake namtakia kila kheri na namwahidi ushirikiano wangu kama awali ndani na nje ya siasa.
 
Back
Top Bottom