Hoja binafsi: Waliosaini kusudio la kumwajibisha PM watangazwe kama mashujaaa na wazalendo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja binafsi: Waliosaini kusudio la kumwajibisha PM watangazwe kama mashujaaa na wazalendo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IsangulaKG, Apr 21, 2012.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Ni mara chache sana kuona wabunge hasa wa chama Tawala wakikiuka 'utaratibu' wa kubebana na kujitoa Mhanga kwa kutetea Maslahi ya NCHI. Natoa pendekezo kuwa wabunge wote waliosaini karatasi ya kusudio la kutokuwa na imani na PM Watangazwe na watambuliwe kama Wabunge pekee mashujaa na Wazalendo kwa kipindi hiki. Kawaida sina utaratibu wa kusifia watu hovyo hovyo, lakini kwa hili naomba support yenu. Kuanzai hapa JF, Forums nyingine zinazotetea maslahi ya nchi, tovuti za wanaharakati..wote wawatambue Wabunge hawa, majimboni mwao na Nchi nzima. Japo unaweza kudharau hoja hii lakini in the long run inaweza kulipa sana!

  Nawasilisha!
   
 2. M

  MNYALUUU New Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli waitwe mshujaa na wazalendo kwelkweli.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Deo Filikunjombe ni Jembe!
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nashauri wale wabunge wa CCM walioungana na wapinzani kusign wapewe reward ... 2015 waachiwe majimbo yao wapite bila kupingwa ... wameonyesha kuwa pamoja na watanzania bila woga
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  naunga hoja
   
 6. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Naunga mikono na miguu hoja
   
 7. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Endorsed
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nakubaliana na wewe mkuu kwani wameonyesha wao ni wawakilishi wa wananchi na sio ccm
   
 9. m

  mwabakuki JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Alafu wabunge kama January Makamba waliokuwa wanataka hoja ife na kuamua kuifanya hoja hii kuwa ya CCM wakati hii hoja ya Taifa. wanaotaka Bunge liwe la kulalamika na butu huku wakipoka madaraka yake na kuyageuza ya Chama . tuwape adhabu gani?
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ni yule aliesutwa kipindi kile na wale kina dada
   
 11. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Natamani nika jilipue na John Momose Cheyo... Afie mbali kule... Machozi yote yale,mihacra yote ile hata mishipa ya kichwa ilimfumuka akiwasilisha hoja , leo hata sahihi yake hakuna!!!!!!!!!!!!!!!!.. Pambafu sana hii mutu. Kelele bila hatua stahiki nini maana yake? Big Up woote mliowafuata wapiganaji wa ukweli CDM, na nina hakika endapo vyama vyenu vitawawekea kauzibe msipate nafasi 2015 kwenye majimbo yenu, onyesheni ukomavu zaidi ya saini...
  Join na makamanda wa ukweli like Ole Millya.. mtarudi Mjengoni kwa heshima kubwa pasi na kutumia pesa kuhonga wapiga kura..
  Kugombea kupitia MAGAMBA utatumia nguvu ya pesa bali kugombea kupitia CDM utashinda kwa nguvu ya Uma..
  Ukisikia sikis anatetea Ujue Anataga....
   
 12. T

  Trackit Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa upande wangu hawa waliosaini ndio mashujaa na wanastahili pongezi;Kwa ujumla ningelikua kikwete hawa ndio wanaostahili kuwa mawaziri na manaibu waziri bila kujali wametoka chama gani kwani wanauchungu na nchi yetu na hawa ndio wazalendo wa ukweli.
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  There is a substance in this thread!
  Kumtambua mtu formally inatia moyo sana na kumjuza kuwa jamii inaelewa vyema harakati zake!
  Kwa level mitandaoni, hii inawezekana kabisa!
  Naunga mkono hoja!
   
 14. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Bila kupingwa??
  hapana lazima waonyeshe uanaume wao wa kimagamba kwanza!
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mjinga ni mjinga tuu hakika nakuambia hiki kijamaa ni kilaza sana!
  Hata ile ya kupewa jimbo na mambo ya umeme kilijiandaa sana but sasa kinaonyesha kilivyo!
   
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja!
   
 17. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Arudishe jimbo kwa mwenyewe; William Shelukindo (mzee lakini sio butu)
   
 18. R

  Roosevelt Senior Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  imefika muda sasa ambao wale waliokuwa wakihofia maslahi yao wangali ndani ya chama tawala hawana haja ya kuhofia tena! Kimbilio lipo. Nalo ni wana wa nchi, raia wa majimbo, wazawa wa Tanzania huru. Kila mbunge mwenye dukuduku la dhati na alitoe sasa maana enzi za Nicodemu zimeisha. Enyi kina Lembeli, Sitta, Mwakyembe, Kilango, Sendeka et al, ni wakati wenu sasa wa 'kujivua gamba' kwa mtazamo mpya wa kizalendo zaidi na si ule wa ccm. Mna makao katika mioyo ya watanzania pale mtakapotimiza wajibu. Nanyi wabunge wa upinzani mmeshajiwekea kumbukumbu isiyofutika. By default you are HEROES!
   
 20. g

  goodluck tesha Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHEYO na OLESENDEKA ni waoga,vibaraka,ndumilakuwili,hawafai ktk jamii kwa sasa wamepitwa na wakati.HONGERA sana DEO FILIKONJOMBE we ni zaidi ya MZALENDO unajali MASLAHI ya UMMA.Keep up.
   
Loading...