Watanzania na umasikini, Kikwete na kampuni ya mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania na umasikini, Kikwete na kampuni ya mafuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsakaGamba, Dec 1, 2011.

 1. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii ni Dalbit International Ltd

  COMPANY PROFILE kwa wale mnaohisi/kufuatilia kama Kampuni hii kubwa ya mafuta katika eneo la maziwa makuu iliyoanza kazi mwaka 2009 ni mali
  ya Rais Kikwete, familia na marafiki zake.

  http://www.dalbitinternational.com/Profile.pdf

  CHANZO: Tundu Lissu on Facebook
  [​IMG]
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  duh!
  dalbit
  siginon
  exceptional
  prime fuel
  mbona zinafanana fanana,na zote mpya!
   
 3. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  nimeangali pdf sijaona jina hilo lipo wapi?
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mbona kutakuwa na vingi tu vinavyomhusu Jk muda unavyozidi kwenda tutayajua mengi yanayotisha na kushangaza
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona naona wakenya tu?
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,139
  Trophy Points: 280
  Wote hao ndugu, jamaa na marafiki wa Kikwete, kuwa ndugu wa Kikwete ni haramu kufunguwa Kampuni? au ndio katiba mpya hiyo?
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Nimekurupuka kuangalia hiyo company profile nikidhani nitawaona hao marafiki wa JK nakutana na Wakenya na Kampuni ilianzishwa Kenya. Yaani JK hana rafiki Mtanzania hata mmoja wote ni Wakenya tu?
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbunge akiamua kuwa mwongo..

  Lissu anataka kuhamisha attention ya watu kwa vile kachemsha kuhusu katiba mpya..

  nitoke vipi??lol
   
 9. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Eti eeh...!!?Kalaga baho...!
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,139
  Trophy Points: 280
  Watu huwa hawana vya kuandika wanakurupuka tu. Kwani hata akiwa na marafiki wa Tanzania wana kampuni ni ajabu> ikiwa ana marafiki wana makampuni makubwa duniani kama kina Bill Gates, kina Al Walid Bin Talal, kina Price Aga Khan na wa humu ndani kina Bakhresa kina Mengi na wengine kadhaa, kuna tatizo lipi?
   
 11. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,110
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  usimhukumu mtu kabla ya kufuatilia na kuwa na uhakika. Tulia fuatilia badae ndio utoe hukumu kwani mtanzania haruhusiwi kuwa na rafiki mkenya, mzambia, mzaire nk. Mbona ujiulizi juzi juzi Manji kamwalika Odinga kufungua biashara yake. Tanzania lolote linawezekana hata kumwonga mzungu na kumwambia simamia hii biashara ni yako. Mbona hamjiulizi mbona Rostam kampuni zake mara zimefunguliwa costa rica. Watanzania kuweni makini kusema kabla ya kufikiria achaneni na biashara kuwa kila kitu ni rahisi lazima utumie kichwa. Tubadilike nionavyo bora waje watoto wetu lakini hawa wa sasa hakuna kitu
   
 12. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kikwete ni kama yuko mbinguni anasafiri kama migratory birds kuliko hata columbus na Vasco Dagama. naona VD ORIGINAL MNAMUONEA TU YEYE ALISAFIRI KWA MIAKA YEYE ANAZUNGUKA DUNIA YOTE KWA SIKU MBILI AU TATU , MARA JAPAN, MARA ENGLAND MARA BRAZILI. hawezi kurudi kwa waliomchagua maisha bora aliyowaahidi watayapate kwani yeye keshapata wao walie tu wasubiri mgombea wambane ahadi hewa alizotoa kikwete. hivi yeye na familia yeke ndio wanaomiliki raslimali kupitia madaraka yao ee Mungu tuepushe na balaa la fisadi huyu
   
Loading...