Zito Kabwe katumwa na JK?

Status
Not open for further replies.

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?
 
Katumwa
 
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela

Kama ni kweli basi ndio JK anajidhihirisha alivyo mtupu kuliko hata huyo Pinda. Kama kiongozi hawezi maamuzi mpaka atume mtu basi hastahili hata kupata ubalozi wa nyumba kumi. Nafikiri timu ya CCM inatafuta namna yakuchukua credit kwenye hii issue. It is too early wao wasafishe kwanza nyumba credit watatoa wananchi hapo baadaye -if any
 
wa UN atakuwa amesharudi mwezi wa saba, sahihi zinakusanywa sasa hivi, afu agenda inawakilishwa rasmi mwezi wa saba.

Mkulima anapigwa chini anaingia maza tayari kwa 2015.

Chezeiya movie director wa Hollywood wewe.

Tumeliona loooongi taimu hili.
 
kama zitto katuma basi mbowe,lisu, na wabunge wote wa upinzani wametumwa ..kwanza aliyeanzisha suala la kumuwajibisha waziri mkuu ni lisu na wala sio zito kwa hio rais wenu mumpendaye bwana vasco da gama amewatuma chadema waiondoe serikali yake which is nonesense... Sisi sio wajinga na nyie ndio mnaoamini freemason mbweha we
 
LISSU KAANZISHA, ZITO KATUMWA AKAMALIZIE MISSION. ULITAKA VYOTE AFANYE LISSU AU HUJUI MAANA YA MGAWANYO WA KAZI?​

Whatever! all we know is Judah Iskariot did not live many hours to enjoy the 30 pieces of silver for which he betrayed his LORD. If wananchi is the LORD of the MPs, and if any MP takes the role of the son of Iskariot, he will not live longer in politics to enjoy the 30 pieces of fame.
 
Watanzania wana mawazo ya hovyo sana..yaaani jk amtume zitto kumuangusha waziri wake mkuu?? Naanza kuamini kwa nini nyerere alikataa jk kuwa rais!
 
Mnataka kuanza kumpa credit JK za bure tu; atakuwa na udhaifu wa kiasi gani wa kutaka kumtumia mpinzani kufanya jambo ambalo yeye mwenyewe ana uwezo wa kulifanya bila kulazimishwa na yeyote? mpeni credit Zitto kwa hili na wenzake
 
Hizo ni tetesi zisizo nz msingi, ZZK na CDM wako makini, walitumia nafasi ku kukerwa Kwa magamba kama advantage tu, hayo ni mawazo yajayo fasta si rahisi Kwa mbumbumbu kuelewa huo mtego. Magamba yalipiga kerere kwa uchungu mkubwa kuhusu ubadhirifu ulokithiri, kerere zao Mara nyingi zimekuwa kama nyimbo tu hasa toka yule Mama kukalia kiti mjengoni. Sasa hapa ZZK na wenzake ni kama wamewaambia hivii: kama Kweli nyie mnapiga kerere Kwa uchungu basi waonyesheni wananchi Kwa kufanya hivi... So hii yamaanisha nini? Kama magamba wasinge Fanya hivo, magandwa na wapinzani Kwa ujumla wangepata mtaji wa kisiasa kwenda kuwaambia wanachi kuwa, magamba wasiwadanganye kwani wote ni kitu kimoja tu mafisadi, wanawaada nyie wananchi Kwa kujifanya wanauchungu lakini lao moja tu wote, nalo ni kuwaabia wananchi. Na Kwa upande mwingine ni kuwa maamuzi yatakayofanywa na magamba yoyote Yale yatakuwa ni faida Kwa wapinzani kisiasa. Sasa JK atamtumaje? Tafadhali tupe 7bu zenye mashiko kwanini JK amtume na Kwa faida ya nani...?
 
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?

wewe ndo umetumwa na kina malayaria sugu kuja kujaza pumba hapa. Zitto katumwa na watanzania milioni arobaini katumwa na kizazi kilichopo na kinachokuja katumwa na machozi ya watafunwa kwa meno wa nchi hii. Hajatumwa na huyo kilaza wako uliyemtaja hapo juu. Koma ukomae wewe rz1, tatizo lako unawaza na tumbo na kupata jibu kwa vishuto.
 
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?

We jamaa inaelekea, ndo umeamka sasa hivi. Afu wakati umelala, umejisaidia kwenye sahani. ukala hayo masubiri yako mwenyewe. Ndo maana unaongea huu ujinga
 
Mnataka kuanza kumpa credit JK za bure tu; atakuwa na udhaifu wa kiasi gani wa kutaka kumtumia mpinzani kufanya jambo ambalo yeye mwenyewe ana uwezo wa kulifanya bila kulazimishwa na yeyote? mpeni credit Zitto kwa hili na wenzake

Hivi Mkuu bado unadhani JK anaujasiri wa kumuwajibisha mshikaji wake yeyote? The only way anayoweza kufanya kitu kama hicho ni kwa kuwatumia baadhi ya watu. JK ni muoga sana kukosana na washikaji kuliko kuiokoa nchi na wizi. mbona ushahidi ni mwingi tu mkuu! ukifuatilia EPA, RICHMOND-DOWANS, JAIRO, LUHANJO nk. Angalau Pinda alishawahi kusema angekuwa na madaraka angemfukuza kazi Jairo straight away - (If you can read between the lines this statement has a lot to tell)
 
Tatizo waTanzania mnapenda gossiping, umbea, uongo, uzindiki.

Sasa hivi mnasema Zitto katumwa na JK. Ok, let's say Zitto angekaa kimya au angewatetea hao mwaziri. Hapo mngesemaje??? Au mngesema Zitto "amegombana" na JK... Ndo maana anawatetea mawaziri na serikali yake.

Sasa hivi ametaka uwawajibikaji, basi katumwa. Angekaa kimya au kuwatetea mngesemaje????
Acheni uswahili wa kupika maneno mtaani, wakati mnakula makungu.

Wewe ni Mtanzania mwenye mawazo finyu. Na wewe uko katika list ya watu wanaotakiwa kunyongwa hapa bongo

My Take: mods naomba muwe mnawapa hawa jamaa ban ya milele humu JF. Hawa watoto wa uswahili, wanakuja kufanya jamii forums ionekane kama gazeti la udaki. Hatutaki huu upuuzu tena.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom