Indeed, Prime Minister Needs to go: But Speaker Is a Bigger Thorn Right Now | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Indeed, Prime Minister Needs to go: But Speaker Is a Bigger Thorn Right Now

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sun wu, Apr 23, 2012.

 1. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Pinda anahitaji kujiuzuru kutokana na kukosa kwake meno (ila ukweli ni kwamba, hata yule atakayekuja huenda akawa ni wale wale or even worse), Sababu hatujui kama Pinda anabanwa from the top na atakayekuja atabanwa from the top. (kwahio kujiuzulu kwa Pinda huenda ukawa ni ushindi symbolically lakini practically itakuwa ni yale yale)

  Ni ukweli usiopingika Bungeni sasa hivi ndio angalau kuna upenyo wa wabunge kufichua maovu, ila kama kuna mwiba (bottle neck) inayokwamisha juhudi za wabunge, (wabunge kusimamia serikali na kutunga sheria) nadhani kwa sasa Adui mbaya na kikwazo kikubwa ni Kiongozi wa Bunge..

  Na in my humble opinion kuondoka kwake huyu kutakuwa ni Ushindi mkubwa kwa Tanzania na mageuzi (Nadiriki kusema anyone right now is better kuliko aliyopo sasa)
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana kabisa na wewe kwamba Speaker ni kikwazo kikubwa kwa wale wanaotaka kuiwajibisha serikali. Kama wabunge hawakumuondoa huyu mama tusitegemee la maana.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Spika wa kupachikwa na mafisadi ni tatizo kwa afya ya taifa hili
   
 4. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  better still, kumuondoa huyu ni rahisi sana, sababu makundi ya CCM (ya kina Sitta) na waroho wa madaraka watampiga chini ili wenyewe ndio wapate ulaji

  All in all huyu mama kwa sasa ni kikwazo.
   
 5. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  WITH DUE RESPECT MY LEARNED FRIEND (?),

  Suala hili la kushinikiza PM ajiuzulu limethibifiisha pasi na shaka kuwa waTANZANIA hawajui mbaya wao. PM aathibitishwe kwa lipi. PM kapewa kazi (1) kusimamia shughuli za serikali; (2) kiongozi wa shughuli za serikali bungeni; na (3) kutekeleza maelekezo ya RAIS (ANGALIA KATIBA IBARA 52). HIZI ni KAZI. Sasa mamlaka yako wapi ya kuzitekeleza? PM hana mamlaka, amepewa kazi lakini bila mamlaka ya kuzitekeleza. MAMLAKA YA KUTEKELEZA KAZI ZA PM ANAYO RAIS, PM aliyepewa kazi hana.

  CHAKUFANYA, ashughulikiwe RAIS siyo PM. RAIS ashughulikiwe kwa kushindwa kazi (IBARA YA 46A ya Katiba), hilo likifanyika tutakuwa tumefanya jambo la maana.

  WATU wanaweza kusema MBONA (1) KAWAWA; (2) SOKOINE; na (3) LOWASSA walikuwa na makeke na kazi zilifanyika? KWELI, KAWAWA na SOKOINE HAWA walikuwa wanaelekezwa na NYERERE na walichoamua NYERERE alikuwa akikiunga mkono: aliyekosana na KAWAWA/SOKOINE alikuwa amekosana na NYERERE na NYERERE ALIMSHUGHULIKIA ipasavyo. HAWA KAWA2 na SOKOINE wakaonekana wanachapa kazi na wana mamlaka kumbe walikuwa wanatumia mamlaka ya NYERERE, wenyewe hawakuwa na mamlaka yeyote. KAMA NYERERE angekatilia mamlaka yake, basi hawa nao wangeonekana hakuna kitu.

  LOWASSA yeye alikuwa akipuyanga tu, kivyake, huku akitumia dhana ya mamlaka ya kufikirika, yaani wananchi wanafikiri na kuamini kuwa PM ana mamlaka kisheria kumbe hana. Kwa hiyo atatoa amri wao watafuata, kwani hawajui kuwa amri hizo ni batili: LOWASSA bila kuwa na mamlaka alifukuza watu kazi baadhi wakatii, wengine wakagoma. Kwa kutumia dhana hiyo ya mamlaka ya kufikirika aliingilia RICHMOND, hapo akakwaa kisiki.

  KICHWA CHA KUCHUKUA NI CHA RAIS. UKIONA PM anatenda kazi basi ujue RAIS yuko nyuma yake, RAIS amemgawia mamlaka yake kidogo. Ukiona PM yupo2 tu, ujue PRES amekatalia mamlaka yake. NA HIKI NDICHO KILICHOPO, KIKWETE amekatalia mamlaka yake, PM hana jinsi.

  NAUNGA MKONO PM kwa hiari yake ajiuzulu lakini si kwa sababu ya kushindwa kazi (aliyeshindwa kazi ni RAIS) ila kwa kulinda heshima yake.

   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  NYAMKANG'ILI
  Mkuu nakubaliana na wewe kabisa ila History tells us otherwise (ningependa Rais atoke kabisa sababu ameshindwa kazi) ila kwa Africa tumeona hata pale marais wanavyoshindwa fairly kwa kura, wanavyongangania madaraka na kutumia kila uwezo na nguvu walizopewa.., Hivyo basi naona ni vema kwa kuanzia (tuka-bite what we can chew), na kuondoka kwa PM nakubaliana na wewe itakuwa symbolically ila haitabadilisha kitu.., ila kwa sasa hata ule upenyo wetu wa wabunge bungeni kuweza kuji-express unazimwa na huu mwiba in the name of Speaker.. (na kusema ukweli sio kazi kumuondoa huyu, sababu wapinzani wataunga mkono na kuna enough groups ndani ya CCM ambazo zinaweza kumpiga chini)

  Indeed kuondoka kwa Speaker kunaweza kuleta positive changes kuliko hata kama PINDA akiondoka na kuwa replaced na another PINDA (Different Cast same Script..)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...