Msaada: Kujivua Gamba; CCM ilimaanisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Kujivua Gamba; CCM ilimaanisha nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by English Learner, Apr 23, 2012.

 1. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Wapendwa,

  We're witnessing a reverse trend on the subject above. I though Kujivua Gamba meant to cleanse CCM house by exterminating corrupt members. The campaigners thought by doing so, the party could regain lost popularity before the public eyes. But what is happening is contrary! Now, I am wondering, may be kujivua gamba ilimaanisha kuvua gamba la Kobe na si la nyoka! Nyoka ni kawaida kuvua gamba na akaendelea kuishi. Lakini Kobe akivua gamba hatma yake ni kifo.

  Hili gamba linalovuka mwili wa ccm kwa ratiba linagonga kengere ya taarifa ya msiba. Na wenye msiba ni wale waliobuni "Kujivua Gamba". Wao wamechura mpaka wengine wamechanganyikiwa (Baba Kakimbia Mji wakati kwake kunateketea) na Wengine Koo zimewakauka baada ya kuchura na kupiga yowe sana (Nape na Mkama) sasa hawana hata la kusema.

  Nifafanulieni, kuvua gamba ilimaanisha haya yanayotokea?
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,782
  Likes Received: 6,114
  Trophy Points: 280

  Mkuu wangu, wenye hekima zao walisema na wakatahadharisha kwamba nyoka akivua gamba huwa anakuwa na sumu mara dufu - yaani anakuwa hatari zaidi. Na hili ndilo linalotokea; UFISADI umepaa kwenye serikali ya CCM baada ya "mradi" ule wa kujivua gamba.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  gamba lenyewe limevuka???
  Bado wanalo aati!
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kwanza umenifurahisha na kiswahili chako cha "Kuchura" maana kwa ki kwetu ni kupiga mayowe a.k.a ndulu. Kuhusu kujivua gamba ni kwamba gamba lilianza kuwasha wakakubaliana walivue. Sasa gamba likajua kabisa kuwa linataka kutolewa......liakjizatiti likagoma kutoka....halitaki kutoka...wala halitarajiii kutoka!!!! matokeo yake lina msulubisha aliyetaka kulitoa.
   
Loading...