Hakika Serikali ya JK haibebeki kabisa , leo Kamati ya Ardhi Maliasili na Mazingira ya Bunge kwa mara nyingine imemlipua waziri maige na watumishi wa Wizara ya Mali asili na utalii kwa kashfa kubwa ya kugawanya vitalu vya uwindaji wa kitalii kwa rushwa na pia utoroshaji wa wanyama pori kwenda Nje.
Source: nimepata kutoka kwa mtu wangu.( Reliable)
Source: nimepata kutoka kwa mtu wangu.( Reliable)