Tuwapige Chini wasiotia Sahihi:::Sahihi70 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwapige Chini wasiotia Sahihi:::Sahihi70

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by King Kong III, Apr 23, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wadau kama mbunge wako hajatia sahii,mtumie message umwambie black n white kwamba 2015 asirudishe pua yake na kuanzia leo sio mbunge wetu coz atuwakilishi sisi bali anawakilisha mafisadi so hatuna umuhimu na wewe(mbunge)

  Nawasilisha.
   
 2. n

  nketi JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii itategemeana watu wa mikoa gani.................kwa mfano kuna mikoa watu wake wako imara sana hawataki danganya toto za ccm na wana ccm....wakisema no ni no yaani wako serious mfano mbeya,arusha,mwanza,kili,shy,iringa,kigoma,rukwa,ruvuma, sindida,tanga,kidogo dar.................lakini mikoa mingine hasa ile watu wake wanapenda pilua wao ccm wkija tena ni mwendo wa ndiyo mzee provided wamepewa pilau na pombe za kienyeji na tufulana twa ccm
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ulisemalo lakini ndio pa kuanzia hapa na imani kwamba huko unaposema wewe kuna wanaharakati ambayo hawafurahii hao ndio tunaowataka waokoe jahazi.
   
 4. L

  Lorah JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nipeni ya huyu mwenye shule inayofelisha 90% hapa Dodoma mjini.... city nini sijui...hivi na sie wananchi si tunauwezo wa ku sign petition kuwa hatuna IMANI na mmbunge wetu Jamani??? kama tunamuona mambo sio ... tuanze mara moja...
   
 5. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Dawa ni kuwazomea kila watapoonekana.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  True dat
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Katiba mpya ndio suluhisho,tuipitishe hii ya kutokua na imani na mbunge.
   
Loading...