Rais J.K: Anapolala kwenye msiba Malawi wakati Dodoma si shwari!

Nyami2010

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
227
50
Ndugu wanaJF

1. Inashangaza sana, Rais J.K amekuwa huko Brazil kwa takribani siku 10
2. Mhe. Rais amerudi na kuelekea kwenda kulala msibani Malawi.....wapi na wapi Rais mzima kulala msibani?
3. Malawi juzi juzi wametuma ndege zao kuvinjari mpaka wetu katika Ziwa Nyasa (Hoja ya Mhe. Komba)
4. Nchi imegubikwa na wimbi zito la tuhuma za ufisadi, mawaziri wake wanarumbana!
5. Waziri Mkuu kawekwa kitanzi shingoni
6. CCM yake inasambaratika kwa kasi.....!

Huyu Mhe. Rais Kikwete yukoje jamani????
 
Huyu Baba nadhani hata mwenyewe hajielewi! Hivi lile pepo lilokuwa linamtupaga liliishia wapi? Labda kwa upande mwingine ndilo lililokuwa linamsaidia.
 
Mkuu punguza hasira..haya ni mapito tu na mwisho wake ni mbili kumi na tano
 
Hivi inachukua muda gani kusafiri kwa ndege toka Dar hadi Lilongwe? Rais alishindwa kuondoka asubuhi badala ya kulala kwenye msiba?
 
Makamu kwa Uzinduzi, Mkuu kwa Safari....kama winga ya kushoto na kulia vile...
 
Ndugu wanaJF

1. Inashangaza sana, Rais J.K amekuwa huko Brazil kwa takribani siku 10
2. Mhe. Rais amerudi na kuelekea kwenda kulala msibani Malawi.....wapi na wapi Rais mzima kulala msibani?
3. Malawi juzi juzi wametuma ndege zao kuvinjari mpaka wetu katika Ziwa Nyasa (Hoja ya Mhe. Komba)
4. Nchi imegubikwa na wimbi zito la tuhuma za ufisadi, mawaziri wake wanarumbana!
5. Waziri Mkuu kawekwa kitanzi shingoni
6. CCM yake inasambaratika kwa kasi.....!

Huyu Mhe. Rais Kikwete yukoje jamani????

IQ yake ni ndogo sana.
 
Yale Yale ya wivu wa kike aisee, yeye ni rais wa nchi kwenda msibani kwa rais mwenzake ni haki yake. Cdm JK anawasumbua sana aisee mtakoma
 
Alipofikia sasa amefikia kwenye point of no return,hana anachofikiri kuhusu ncchi hii anaomba Mungu siku ziishe kwa taarifa yako huko Tanga wanakazana kukarabati IKULU yake atakuwa huko kwa siku kumi kuanzia tarehe 1 /05/2012
 
Ndugu wanaJF

1. Inashangaza sana, Rais J.K amekuwa huko Brazil kwa takribani siku 10
2. Mhe. Rais amerudi na kuelekea kwenda kulala msibani Malawi.....wapi na wapi Rais mzima kulala msibani?
3. Malawi juzi juzi wametuma ndege zao kuvinjari mpaka wetu katika Ziwa Nyasa (Hoja ya Mhe. Komba)
4. Nchi imegubikwa na wimbi zito la tuhuma za ufisadi, mawaziri wake wanarumbana!
5. Waziri Mkuu kawekwa kitanzi shingoni
6. CCM yake inasambaratika kwa kasi.....!

Huyu Mhe. Rais Kikwete yukoje jamani????

Nchi haendeshwi kwa maoni binafsi, Kama Rais anamajukumu ya ndani na nje ya nchi. Badala ya kuongea ya busara na maana tunafanya mambo ya ushoga. Tuongee point kimsingi. Rais ninaimani analishughulikia jambo labunge kwa makini sana. Zitto anatafuta umaarufu wa kugombea Urais tu.
 
Mama yako alikuzaa hatiani
 
Kabla ya mazishi alipenda kujifunza njia mbali mbali za uwekaji hela za wizi nyumbani. Hapo kwa Mutharika amejifunza njia za kuhifadhi milungula kwenye magunia ya tumbaku, pia namna ya utoroshaji wa mali ya umma nk.

So ziara yake ilikuwa na kwa malengo mengi na ni faida kwa serikali.
 
Hivi inachukua muda gani kusafiri kwa ndege toka Dar hadi Lilongwe? Rais alishindwa kuondoka asubuhi badala ya kulala kwenye msiba?

uswazi watu ulalaga nje kwenye majanvi mpaka siku ya maziko, watoka na shuka na mto wako mambo mswano, yawezekana ka-copy na ku-paste, bravo!
 
Back
Top Bottom