Nape mnauye na julius mtatiro karibuni chadema mtimize ndoto zenu...!

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Hii ni kweli kwamba sasa hivi vyama vikubwa vya CCM na CUF vinahimiliwa na vijana wawili Nape Mnauye na Julius Mtatiro..,hawa ni vijana ambao wanaonyesha uwezo mkubwa kwenye suala zima la uongozi na siasa!

Lakini nina wasiwasi wakawa wanatumiwa na vyama vyao bila kutimiza malengo yao..,mwisho wa siku Nape Mnauye Jnr Atajikuta Anarudi kwenye nafasi yake ya ukuu wa wilaya na Julius Mtatiro kufukuzwa kama Rwakatare,hamad rashid au kujikuta amenunuliwa kama tambwe hizza..!

NAPE NA JULIUS STILL U HAVE TIME..KARIBUNI CHADEMA MTIMIZE NDOTO ZENU..,ACHANENI KUPOTEZA MUDA NA KUJIPAKA MATOPE NA KUBEBA MADHAMBI YA MAFISADI..UNGANENI NA MAKAMANDA NA VIJANA WENZENU KULIKOMBOA TAIFA
 
Mkuu umenena vema,binafsi namfahamu Mtatiro vizuri sana,he is A RIGHT HEAD ON A WRONG TRUNK kwa kuwa CUF,naamini ni maslahi ndo yamemuweka pale ila angepiga gwanda,CALL A SPADE A SPADE,Mtatiro ni Jembe, about Nape,ntarudi baadae,not that easy,yule dogo anatumika beyond what we perceive him to be,ana wakati mgumu sana,kifupi katekwa mazima
 
Kweli kabisa.....Mtatiro nilimuacha shule chuoni lakini nilendelea kusikia mambo yake hata nikiwa mtaani. Karibu sana CDM. Kuhusu NAPE nina imani roho inamuuma pale alipo hana jinsi masiki ya Mungu. Walimsakizia akachokoze mzinga wa nyuki bila Helmet. Alafu waliomtuma akawachokoze hao nyuki wakaingia ndani ya gari wakafunga viooo.Nape yuko anahangaika kufukuza nyuki lakini wengine wanaanza kumuingia puani. Akikutana na EL, Andrew Chenge na Rostam wanaangaliana vipi!!! Yaaani hii ni mbaya sana.
 
Nape anajifanya roho ngumu atakuja kujuta.Asome alama za nyakati,ccm haina future nzuri naye kiasi atimize malengo yake.Millya na wengine wote wanao ondoka ccm wameona mbali.Kuipigania ccm ni kupoteza muda.Muda siyo mrefu nchi nzima wataiona adui wao mkubwa.
 
Hii ni kweli kwamba sasa hivi vyama vikubwa vya CCM na CUF vinahimiliwa na vijana wawili Nape Mnauye na Julius Mtatiro..,hawa ni vijana ambao wanaonyesha uwezo mkubwa kwenye suala zima la uongozi na siasa!

Lakini nina wasiwasi wakawa wanatumiwa na vyama vyao bila kutimiza malengo yao..,mwisho wa siku Nape Mnauye Jnr Atajikuta Anarudi kwenye nafasi yake ya ukuu wa wilaya na Julius Mtatiro kufukuzwa kama Rwakatare,hamad rashid au kujikuta amenunuliwa kama tambwe hizza..!

NAPE NA JULIUS STILL U HAVE TIME..KARIBUNI CHADEMA MTIMIZE NDOTO ZENU..,ACHANENI KUPOTEZA MUDA NA KUJIPAKA MATOPE NA KUBEBA MADHAMBI YA MAFISADI..UNGANENI NA MAKAMANDA NA VIJANA WENZENU KULIKOMBOA TAIFA

Wanasubiri hadi mwaka 2014
 
Nape anajifanya roho ngumu atakuja kujuta.Asome alama za nyakati,ccm haina future nzuri naye kiasi atimize malengo yake.Millya na wengine wote wanao ondoka ccm wameona mbali.Kuipigania ccm ni kupoteza muda.Muda siyo mrefu nchi nzima wataiona adui wao mkubwa.

Avatar yako vipi wengine tukiona hayo makitu akili zinaturuka...........hata Mama Porojo yuko hivi hivi isipokuwa ni mkuda mkuda tu. Makalio yako kwenye avatar yamenimix ni ki kupm usicomplain
 
Acheni mawazo ya kipunguani magreat thinkers, kweli mtatiro ni jembe but kwa kujiweka kwake cuf anakuwa ni kama fyekeo ambalo haliwezi kulima but inabidi tumshauri mtatiro na Nape waje CDM ili wasaidie na kuungana na jeshi kubwa ktk ukombozi wa nchi yetu na sio kuwakaribisha eti waje watimize ndoto zao, CHADEMA SI MAHALI PA KUTIMIZA NDOTO ZA MTU BINAFSI SO JITAHIDINI KUITOFAUTISHA CDM NA CCM AMBAPO NDIO MAHALI PA KUTIMIZIA NDOTO ZA TU BINAFSI BALI CDM NI MAHALI ZA KUTIMIZA NDOO ZA TAIFA .
 
for julias Mtatiro hata sie tuliosoma UD tunashangaa kitu gani kilichompeleka huko CUF, for sure JULIAS MTATIRO ni moto wa kuotea mbali hasa linapokuja suala la kutetea haki, na maslai ya wanyonge. Kwa wasio mfahamu MTATIRO huyu jamaa alikuwa kampani moja na DAVID SILINDE (mb), JOSHUA NASARI (mb), na mkeja mmoja hivi ambaye alifukuzwa chuo (ODONG ODWAAA), Kweli hawa jamaa walikuwa ndio vuguvugu la harakati za mabadiliko pale UD (2005 - 2010)

Nadhubutu kusema JULIAS MTATIRO alikuwa mmoja ya watu waliochangia sana bumu kuongezwa kutoka TSH 3500 - 5000 (Samahani figure hizi kama nitakuwa nimekosea) kwani kipindi hicho alikuwa waziri mkuu, walisimamia mgoma mpaka kweli bodi ya mikopo walichoka.

Nina amini MTATIRO chadema pangekufaa sana kwani tunapenda wanamgeuzi kama nyie, achana na maslai binafsi karibu sana CDM.

Nape Nauye .....:)bowl::bowl::bowl::bowl:loading........)
 
Mzee acha kuchachawa na wana-CCCC!!

avatar77943_1.gif

Umeiona Avatar ya chaimaharage.......wengine tunatamani tutumie Pua zetu.
 
for julias Mtatiro hata sie tuliosoma UD tunashangaa kitu gani kilichompeleka huko CUF, for sure JULIAS MTATIRO ni moto wa kuotea mbali hasa linapokuja suala la kutetea haki, na maslai ya wanyonge. Kwa wasio mfahamu MTATIRO huyu jamaa alikuwa kampani moja na DAVID SILINDE (mb), JOSHUA NASARI (mb), na mkeja mmoja hivi ambaye alifukuzwa chuo (ODONG ODWAAA), Kweli hawa jamaa walikuwa ndio vuguvugu la harakati za mabadiliko pale UD (2005 - 2010)

Nadhubutu kusema JULIAS MTATIRO alikuwa mmoja ya watu waliochangia sana bumu kuongezwa kutoka TSH 3500 - 5000 (Samahani figure hizi kama nitakuwa nimekosea) kwani kipindi hicho alikuwa waziri mkuu, walisimamia mgoma mpaka kweli bodi ya mikopo walichoka.

Nina amini MTATIRO chadema pangekufaa sana kwani tunapenda wanamgeuzi kama nyie, achana na maslai binafsi karibu sana CDM.

Nape Nauye .....:)bowl::bowl::bowl::bowl:loading........)

Ni kweli jamaa ni kichwa, ila alikuwa mbishi sana hata kwenye ukweli alikuwa anatengeneza mazingira ya ubishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom