Wana JF wana m- endorse Willy Malecela Mtera? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF wana m- endorse Willy Malecela Mtera?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Apr 23, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tangu baada ya uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki kupita W.J. Malecela ameendelea kuwa mtu maarufu humu JF.

  Lakini kinachonishangaza ni ile hali ya wana JF kushikilia kwamba Willy kama anataka aende akagombee Ubunge wa Jimbo la Mtera ili amuondoe Livingstone Lusinde,na wao watamsaidia!! Inakuwaje kwa njia moja tunaishutumu CCM kwamba ina tabia ya kurithishana vyeo, wakati huo huo tuna sisitiza Willy aende Mtera akapambane na "mbaya" wa baba yake na sisi tutamsaidia?

  Ingawa kuna maoni tofauti kuhusu ni chama gani Willy agombee Ubunge huo, lakini wengi wanaona yeye ni bora zaidi ya Lusinde na wako tayari "kumsadia" ili ashinde nafasi hiyo dhidi ya Lusinde. Wana JF tunam - endorse Will Malecela akagombee ubunge Jimbo la Mtera?
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mimi si mmoja wa wanaJF hao.

  sijawahi kumuelewa huyu jamaa. sitashiriki kumpigia debe
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  What is your take?
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Heri yako umemuuliza maana hapa JF siku hizi mtu mmoja anaweza akaongea kwa niaba ya Members wote bila hata kuangalia uhalisia.
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  To me I am for "DEATH OF CCM; THE BETTERMENT OF UPINZANI AND TANZANIA AS A WHOLE..."

  Hivyo basi nita-endorse hata jiwe popote pale kama sio CCM; hivyo kupelekea kupungua kwa NDIOOOO, ambazo zinakwamisha nchi yetu
   
 6. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mi namuonaga kama punguwani fulani mwenye ulevi wa madaraka ya wazazi wake. Kijana mwenye fikra pevu huwezi kusema vijana wako chadema kwa mkumbo na unaona watu wanavuna fedha za watz bila huruma. Eti watu wamekosa uzalendo sababu jkt ilifutwa! Huyu mpuuzi tu.
   
 7. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama mtera inakosa mbadala wa uwakilishi hadi inamchagua bingwa mwandamizi na professor wa matusi ya nguoni si ni bora huo uwakilishi uende kwa mtoto wa Malekela ambaye kwa sasa anaonekana anampita maili nyingi za uwezo na upeo deadstone lusinde. Hapa sidhani nia ni kubomoa ngome ya watoto wa viongozi wa wa zamani kisiasa bali ni kutafuta nani mwakilishi mzuri. Kama ni kuondoa watoto wa viongozi hapo nadhani hilo ni kosa la kiufundi we need to review it.
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 936
  Trophy Points: 280
  Huyu Malecela Md. ni mtu wa hovyo sana, hana nidhamu ya mdomo, anapost kila kinachomjia akilini bila kuchuja.
  Wakati wa uchaguzi wa EALA alianzisha uzi, uzi ukawa mrefu kama movie la kihindi, lakini ndani kukajaa ***** mtupu, hakuna swali hata moja gumu alilolitolea maelezo ya kutosha, alitoa majibu mepezi ya kibongo fleva na kuandika 'ha ha ha ha' na '@Dodoma City'. Kampeni zake zilikuwa za kupost picha alizopiga na waheshimiwa wabunge, ilipokuja zamu ya kujieleza kwenye mimbari, hakuna cha maana zaidi ya kizungu kilichonyooka.
  Kwangu huyu jamaa yuko below JF standards, hata kuwa memba tu, wachilia mbali kuwa candidate kutoka JF... Tena ni kipimo cha unafiki wa wanaJF, ambao huwa wanadai wamechoshwa na CCM, wamechoshwa na usultani, ila wanamsapoti Mwana Mfalme WJM, aloo? Leo katangaza eti jimbo la Segerea ni 'lake' kisa ana nyumba na shamba huko, e bwana we? Miaka kibao ya kuishi America, ameyajuaje matatizo ya Mtera?
  Sitaki na wala sitaki kulazimishwa kukubali.
  Hutaki unaacha, ndio mtazamo wangu kwake.
   
 9. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kuna mambo mengine haupaswi kuweka uwingi ("Wana JF tunam-endorse). Sema mimi nitam-endorse!
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  1. @NYC akila miraha, thanx to kodi zetu, NY.
  2. @dodoma city Katika harakati ya kupata uwakilishia EA.
  3. @DSM city, anadai kugombea ubunge Segerea should Mahanga go.
  Kigeugeu huyu jamaa kama signature zake zinavosomeka.
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tumwacheni huyu mtu jtatu leo
   
 12. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Ujue hii uliyeleta huu upuuzi hapa....WANA JF sio Wananchi wa Mtera..... Mtera ndio wataamua.... Period...
   
 13. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu mimi naungana na wewe kwa hili
   
 14. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mi nam endorse akagombee udiwani kumrithi yule jamaa anayevaa kama JOKER, nimegundua ubunge kwake ni mzigo mkubwa hawezi kuubeba hasa akiingia kupitia chama cha upinzani CCM hapo 2015 (IF and only IF hakitakufa) Diwani Mtera.jpg
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  hakuwa endorsed... alishauriwa tu

  logic iko simple,kama hata lusinde anakua mbunge mtera, then jamaa anawezapia
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  watamsaidiaje? Kwa Kumpigia kura au kwa kumfanyia kampeni?
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  JF bana.... still learning....
   
 18. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Mi natoa hoja moderators wa JF waangalie uwezekano wa kukataa watu kuitumia JF kujinadi kwa maslahi yao binafsi! Kama vp wachangie fedha kama vile unavyotoa hela kwenye gazeti unatotaka kutoa habari! Na basi hata kama wataruhusu basi wanacho-post kuambatane na disclamer/onyo inayosema hivi; JF haihusiki au haiegemei kwa namna moja au nyingine na ujumbe unaotolewa na mhusika" maana hili bweege limeitumia sana JF katika kampeni zake kule Dodoma halafu liliposhindwa limekuja kuitukana JF hiyohiyo iliyompa jina!
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  With this CAG report no one from CCM should be allowed to contest for any post in Tanzania! I can't endorse this dude
   
 20. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unamzungumzia huyu aliyewahonga wabunge wampigiekura? Kama katoa rushwa kwa wabunge huko Mtera itakuwaje?
   
Loading...