JK, chukua hatua tafadhali

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,064
  • Mawaziri wanaumbuana mbele ya hadhara.Ilianzia Sitta na Nahodha ingawa kabla ya hapo kulijitokeza mgongano wa wazi wa mawaziri katika suala la kulipwa Dowans.
  • Jairo amefanya madudu na mkahitilafiana na PM wako wazi kabisa.
  • Naibu Waziri wako anatembea na bunduki mbili,laptop tatu,simu tatu na dola 4000 katika ziara ya ndani.Anaibiwa hotelini na bado yupo.Alikuwa katika ziara ndefu na alipitia migodini.
  • Exchequer General anauza kiwanja cha serikali kiujanja na pia anataka kuvunja CHC wakati anajua kuwa hiyo bado inashughulikia madai na mambo mbalimbali yaliyokuwa kwenye mashirika ya umma.
Ni wakati muafaka wa kuitetea nchi na si Chama,tafadhali we need action and not only action but positive one.
Tunakupenda mno,una huruma sana na unaguswa na matatizo ya watu na hapa ndo pakuonyesha vitendo na tutakuwa nyuma yako.
 
Hapo uliposema tunakupenda sana sikuungi mkono kwani mimi kwa kusema ukweli toka moyoni jk simpendi na yeye ni mtu wa pili hapa tz kati ya watu ambao siwapendi huku wa kwanza akiwa makinda na wa tatu lowasa hawa watu siwapendi na ndo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya Tz huku ikifuatiwa na chama chao kwa pamoja wameturtdisha nyuma kimaendeleo kwa 100%
 
Rais kikwete epusha taifa na aibu hili linaloendelea katika taifa,mamlaka unayo fanya uamuzi sahihi kwa taifa
 
Kwa mwenendo huu wa JK, lazima ccm ipigwe chini in near future!!! I swear!!!!
 
Hapo uliposema tunakupenda sana sikuungi mkono kwani mimi kwa kusema ukweli toka moyoni jk simpendi na yeye ni mtu wa pili hapa tz kati ya watu ambao siwapendi huku wa kwanza akiwa makinda na wa tatu lowasa hawa watu siwapendi na ndo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya Tz huku ikifuatiwa na chama chao kwa pamoja wameturtdisha nyuma kimaendeleo kwa 100%
Panya anuma na kupu_______.Mtu mzima yule.
 
Mara ya kwanza kusikia eti Jk ana huruma.
Ana huruma na nani?
Kama ana huruma na waizi sawa, maana nakumbuka alimwachia huru jambazi aliyefungwa miaka 30. Hapo Jk ana huruma
  • Mawaziri wanaumbuana mbele ya hadhara.Ilianzia Sitta na Nahodha ingawa kabla ya hapo kulijitokeza mgongano wa wazi wa mawaziri katika suala la kulipwa Dowans.
  • Jairo amefanya madudu na mkahitilafiana na PM wako wazi kabisa.
  • Naibu Waziri wako anatembea na bunduki mbili,laptop tatu,simu tatu na dola 4000 katika ziara ya ndani.Anaibiwa hotelini na bado yupo.Alikuwa katika ziara ndefu na alipitia migodini.
  • Exchequer General anauza kiwanja cha serikali kiujanja na pia anataka kuvunja CHC wakati anajua kuwa hiyo bado inashughulikia madai na mambo mbalimbali yaliyokuwa kwenye mashirika ya umma.
Ni wakati muafaka wa kuitetea nchi na si Chama,tafadhali we need action and not only action but positive one.
Tunakupenda mno,una huruma sana na unaguswa na matatizo ya watu na hapa ndo pakuonyesha vitendo na tutakuwa nyuma yako.
 
Rais awe anapewa term moja tu ya urais kwanza kama anachapa kazi nzuri ya kuridhisha then anapewa nyingine, hii kitu ya kua kila rais lazima apewe miaka 10 madarakani ndio maana mambo yameharibika namna hii. Yeye anajua hii ni term yake ya mwisho, ongeeni, mkitaka mlie, mjiue mjinyonge lazima achote zake za mwisho mwisho kabla hajaanza kuvuta pension. Ingekua ni wewe au mimi tungefanya kitu hicho hicho so simlaumu:rolleyez:
 
Jk mambo yamesha kuwa magumu kwake, anasubiri msiba mkubwa mwingine utokee akapumzike kwenye matanga. nchi imeshamshinda
 
mpaka sasa kiti cha raisi kimewekewa koti jeusi hadi hapo atakapopatikana
 
Back
Top Bottom