Hitimisho la Bunge: Swaga za Waziri Mkuu ni Zile zile! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hitimisho la Bunge: Swaga za Waziri Mkuu ni Zile zile!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Apr 23, 2012.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwa ufahamu wangu juu ya utendaji kazi wa Waziri Mkuu, kwa Busara zake kawa wasemavyo wengi, Si Ajabu kusikia akisema "HAJAPATA MUDA WA KUZUNGUMZA NA RAIS JUU YA KUJIUZURU KWA MAWAZIRI HAWA NA ANATEGEMEA KUZUNGUMZA HAYA PINDI RAIS ATAKAPO REJEA TOKEA NCHINI MALAWI KUHUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA MALAWI MAREHEMU PROF. BINGU WA MUTHARIKA". Tegemeeni kitu kama hichi wadau!
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Swaga ni zile zile!
   
 3. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  swaga ndo nini?
   
 4. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  History no change.....!
   
 5. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  afisa mmoja toka ofisi ya spika ameniuma sikio na kusema hakuna anayeachia ngazi...wakti huo huo hoja ya zitto itasikilzwa Mchana baada ya Hoja ya Kamati za Kilimo na Maliasili
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,234
  Trophy Points: 280
  Waachie ngazi kwa makosa yapi?. Kama Epa, Rada, Deep Green, Meremeta etc ambazo zimeinvolve billions na hakuna aliyewajibika!, nani awajibike kwa hivi vijisent anavyopigia kelele CAG?.
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwani bunge linaahirishwa muda gani?
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hii nchi bwana duh!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mazoea hujenga tabia!
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hujitaja richmond,au kwakuwa ilimhusisha swaiba?
   
 11. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika.na Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yashaota miziz
   
 13. KML

  KML JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mjasili haachi asili...
   
 14. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180

  litaahirishwa leo baada ratiba kukamilia lakini pia kuna baadhi wa wabunge wanataka liitishwe bunge la mda ili hii ngoma ijadiliwe na iishe...siju mama makinda kama atakubali
   
 15. K

  Kazi Deo Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hana tena swaga naona
   
 16. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  swaga ni mikogo
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Asante sana mkuu kwa kutujuza. Je wadhani Spika ataitendea haki hi taarifa na hoja?
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  swaga ni kiswahili cha wapi?
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo unataka kusema wanaweza waka'extend muda? Spika Semamba atawaelewa kweli?
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni POROJO POROJO. Wewe si ndie MAMA POROJO yapaswa umtambue SWAGA kama Mwanao!
   
Loading...