HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Liverpool2005, Apr 23, 2012.

 1. L

  Liverpool2005 Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  "@zittokabwe: Taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika."

  "@zittokabwe: Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'"
   
 2. L

  Liverpool2005 Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kazi ya ukombozi imeanza
   
 3. b

  buzz Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante kwa taarifa
   
 4. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Shukrani sana mh zitto, ikiwezekana na kamaa kanuni zinaruhuu liitihwe bunge la dharura baada ya hizo siku 14 ili liweze kujadili hoja hii kwa maslahi ya nchi yetu, ni gharama sana kuendelea na mzigo huu.
   
 5. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wera wera zitto.But kuna mbunge wangu mpya na anasapoti mafisadi hajasaini naye ni Augostino manyanda masele jimbo la mbogwe wilaya ya mbogwe mkoani geita mpya.Na nilazima akalie kuti kavu 2015 harudi mjengoni badala yake naingia mim via pipoz pawa.
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Saafi sana. Zitto usiondoe mguu wako kwenye accelerator mpaka kieleweke.
  .
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  bi Kiro + boto lazma alete mizengwe
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hongera sana mkuu Zitto Kabwe kwa taarifa!
   
 9. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  huenda bunge la dharula likaitishwa leo
   
 10. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  tena zengewe kubwa sana.
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Umeniacha hoi sana mkuu!
   
 12. L

  Liverpool2005 Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Haya ndiyo aliyosema tena
  "@zittokabwe: Inaanza taarifa ya maandishi kisha Hoja. Hoja itakabidhiwa mchana leo"
   
 13. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Zitto safi sana sisi wananchi wa kawaida wapenda mageuzi tuna nyuma yenu
   
 14. L

  Liverpool2005 Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ANAENDELEA HAPA
  "@zittokabwe: Kanuni 27(4) Endapo manufaa ya Taifa yatahitaji....Spika anaweza, baada ya kushauriana na Kamati ya Uongozi....kuliita Bunge 'mapema' zaidi"

  Hapa kazi kwa spika
   
 15. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ataanza ku-Cort vifungu visivyo na tija ilimradi akwamishe mambo
   
 16. L

  Liverpool2005 Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kuhusu swala la waziri Nundu na naibu wake kupishana,haya ni maoni ya KAMANDA

  "@zittokabwe: Komba aliwahi kuimba 'wenyewe kwa wenyewe wanapigana, wenyewe kwa wenyewe wanatutana. Sasa mambooooo' #OperesheniUwajibikaji"
   
 17. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Ooh...oooh!!
  ...safi
   
 18. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Pa1 sana!
   
 19. n

  nketi JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya twende tz
   
 20. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jukumu la kukomboa nchi yetu ni letu sisi sote, tusimwachie mtu au kikundi cha watu wapigane dhidi ya haya majambazi.

  Cha muhimu kama huwezi kukemea hadharani nenda hata uvunguni mwa kitanda chako unong'one kuwa naichukia CCM. Pili anza kuchukia rangi ya kijani popote uionapo.

  Hawa watu hawana huruma hata kidogo. Kwanini tucheke na jambazi ambalo usiku likikuvamia linakuuwa.

  Ni nani anafurahia kuona utajiri wa nchii unateketea mikononi mwa watu wachache then haohao wanatukashifu na kuturingishia utajiri wao?
   
Loading...