ratiba ya bunge!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ratiba ya bunge!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwaks makono, Apr 23, 2012.

 1. G

  Gwaks makono Senior Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  samahani wadau naomba mwenye kujua ratiba ya bunge jioni hii.mpangilio wa kazi zake uko vp???
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Naona wabunge wanachangia juu ya hoja kuhusu wizara ya maliasili na utalii. Wanajikita katika taarifa ya utoroshwaji wa wanyamapori. Bila shaka baada ya kuhitimisha hoja hii ndipo PM atahutubia kuahirisha bunge.
   
Loading...