Nape - speak now or forever keep your trap shut!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Kijana Nape, angalau wape pongezi Wabunge mashujaa sita wa CCM waliothubutu na ikiwezekana usiishie hapo, walaani wote waliobaki kwa kuonesha woga na unafiki uliokubuhu. Ukifanya hivyo, wengi wetu tuliokubatiza "toothless bulldog" huenda tukakuangalia kwa miwani mipya na tukawa tayari kukukaribisha kama mwana mpotevu. Lakini hapa naomba nikuonye, mlango wa kutokea unazidi kubana na hii ni nafasi ya pekee kwako kusimama upande wa wazalendo kulitetea taifa hili.

Hah hah Awalaani wote .... Hapana anachofanya ni ....

attachment.php

Kama ni hivyo kazi tunayo!​
 
Mkuu hilo ni kaa la motto!Saying is what makes Nape lives!Ebu tembelea FB wall yake kule ndiko huwa anabandika matamko either Matapishi!
 
Nape unakumbuka maneno ya Marehemu Phares Kabuye Bungeni? CCM mnanyea ndani mlikolala, asubuhi mnatoka lakini jioni mnarudi ndani mle mle mlikonyea mwanzoni...

My take: Akili za CCM zinahitaji overhaul au shutdown + new installations then restart

SurnameKabuye
First NamesPhares Kashemeza
Alternate Name
Title
Country of BirthTanzania
 
Kijana Nape, angalau wape pongezi Wabunge mashujaa sita wa CCM waliothubutu na ikiwezekana usiishie hapo, walaani wote waliobaki kwa kuonesha woga na unafiki uliokubuhu. Ukifanya hivyo, wengi wetu tuliokubatiza "toothless bulldog" huenda tukakuangalia kwa miwani mipya na tukawa tayari kukukaribisha kama mwana mpotevu. Lakini hapa naomba nikuonye, mlango wa kutokea unazidi kubana na hii ni nafasi ya pekee kwako kusimama upande wa wazalendo kulitetea taifa hili.

Hah hah Awalaani wote .... Hapana anachofanya ni ....

Fujo za juzi.gif
 
Wakati unakuja na ataona uongo si jambo zuri na atasema ukweli japo atakuwa too late
 
Back
Top Bottom