Dr. Slaa alipa Bunge na Serikali siku tatu (3) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa alipa Bunge na Serikali siku tatu (3)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MwanzoMugumu, Apr 23, 2012.

 1. M

  MwanzoMugumu Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia kujrehuiwa na watu wanaosadikika kuwa ni wafuasi wa CCM march 31, 2012 eneo la Kirumba jijini Mwanza wakati wa kumpata diwani wa kata hiyo.

  Ameyasema hayo leo 22.April, 2012 wakati akihutubia maelefu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika viwanja vya Sahara. Amesema kama serikali na bunge hawatafanya hivyo atawaomba watanzania kumchagia ilim apate matibabu. Ameongeza kusema hiyo itakuwa imedhihirisha kwamba serikali ilihusika moja kwa moja katika tukio hilo.

  Huku akishangiliwa na maelefu ya wana-Mwanza alisema taarifa za nani alihusika vipi zote wanazo wnaitaka serikali na bunge kutimiza wajibu wake kwakuwa kuna viongozi wamekuwa wakipelekwa matibabu nje ya nchi hata kwa kuumwa mafua tu.
   
 2. M

  MwanzoMugumu Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufuatia kutotiwa mbaroni kwa watruhumiwa halisi wa tukio la kushambuliwa wabunge wawili wa Chadema DR. Slaa amelipa Jeshi la polisi siku saba kuwakamata watu hao na kuwafikisha mahamani mara moja. Amesema watu hao wanafahamika kwa sura, kwa majina, magari waliyotumia, na namba zake, polisi waliokuwepo na gari lilikuwepo siku ya tukio. Akiwahutubia wakazi wa Mwanza katika viwanja vya Sahara jijini Mwanza, Dr. Slaa amesema " uvumulivu una mwisho namwambia IGP Mwema kama ana ajenda ya siri atambue nchi hii ni yetu sote" Ameongeza kusema baada ya siku saba kuisha kama Jeshi la polisi halikuchukua hatua basi yeye mwenyewe atakuja jijini mwanza kuongoza mapambano na kazi ya kwanza itakuwa ni kuvamia kituo cha polisi na kuanza operesheni ya kuwasaka wahalifu hao. Amelitaka jeshi la polisi kuleta askari wake wote wa nchi nzima siku hiyo. " Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mwanza" Wakumbuke kilichotokea Misiri na Tunisia ni matokeo ya dhuluma na ukandamizaji" alisema Dr. Slaa huku akishangiliwa na maelufu ya wanamwanza
   
 3. H

  Hansen Nasli JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 881
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,530
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  laana nyingine ni bora kutembelewa na nguruwe

  umesoma ulichoandika, na umesoma rai ya Dr. Slaa??
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hana ubavu huo ye nani acheni sifa za kijinga
   
 6. S

  STIDE JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Funga bakuli lako!! Huna la kuongea mbele ya watu wazima!!!!
   
 7. S

  STIDE JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Takataka nyingine hii hapa!! Haya ndio matatizo ya kujaza dudumuzi kichwani!!! Aaaagrrrrrh!!
   
 8. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Magamba yanafanana yote, liwe la nyoka, mamba, kenge, mjusi hata la kikwete ni sawa sawa yote! Mnajisikia raha gani mbunge wetu, kupigwa mapanga na mashoka na green guards harafu asitibiwe? Mbona mna roho mbaya hivyo magamba? Afadhali ya roho ya fisi kuliko nyie, wana wa izaya nyie!
   
 9. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  si ajabu wewe ndiye ulinyonga bodaboda wa tengeru, akilimatope.
   
 10. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatito la ccm ni kutolipenda taifa letu, kama wangekuwa wanapenda taifa letu wasingepiga mapanga wabunge! Ni wanafiki tu!
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,201
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Masaburi yako ndiyo yenye ubavu?
   
 12. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Jamani umekunywa gongo?
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,201
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Naona masaburi yana washa Ngoja nikuitie Mzee kipara
   
 14. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we noma hilo kanisa we ndo msemaji wake? Huo ni unafiki, kama unajua hizo taarifa peleka polis utakuwa umelisaidia taifa sio huo uchuro na unafiki tu.usiwe kama domokaya!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Skaa alipe bunge siku tatu, yeye kama nani? hayupo serikalini wala bungeni. Mleta mada ni fataani usiyeelewa kuwa wabunge wanatibiwa bure kama watumishi wengine wote wa serikalini na kama ni matibabu ya nje, si bunge bali ni madaktari ndio wanaamuwa.

  Sidhani kama Sla atakuwa msahaulifu kiasi hicho, wacheni fitina za kijinga.
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni vizuri urudi kilabuni ulikotokea ili uendelee na mazungumzo uliyokuwa ukifanya huko.
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  dini ni bangi ya jamii -Karl Marx
   
 18. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sio kila kitu uonyeshe Chuki yako, saa nyingine uwe unakaa kimya
   
 19. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Suala hili ni gumu mno
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,201
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mama muuza!!!!!! Muongezee chupa nyingine ya gongo tafadhali !!!!!!
   
Loading...