Wote wameoza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wote wameoza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oba, Apr 23, 2012.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ukifuatilia mjadala wa bunge unavyochambua wizara ya mali asili na utali na ukarecord wachangiaji wote katika mijadala iliyopita utagundua kuwa wote wameoza, si mawaziri , si makatibu wakuu, si wakurugenzi wala wafanyakazi wa wizara hizo waliosalimika. Raisi naye hajasalimika kwasababu, ukitaka kujua baba alivyo watazame watoto wake na ukitaka kujua watoto walivyo mtazame baba- WOTE WAMEOZA, hakuna hata aliyesalia.
  Dawa; Serikali yote ivunjwe, raisi ajiuzulu, nchi iwekwe chini ya uongozi wa bunge wakati katiba mpya yenye DOs and DONTs kabla ya kufanya uchaguzi mwingine wa haki utakaowaweka viongozi wawajibikaji; Raisi ambaye ataongoza kwa mjibu wa katiba, ambaye atakuwa mfano wa uadilifu ktk utumishi, mzalendo na dira halisi ya kiongozi, Hapo tutaweza kuanza upya baada ya kufunga ukurasa wenye harufu mbaya ya rushwa na ukosefu wa uwajibikaji.
  Nawasilisha!!
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu kujiuzuru kwa JK ni ndoto labda Mungu amchukue. Kwa nini? Waafrika hatuna utamaduni huu wa kuwajibika bali kung'ang'ania madaraka.

  Ni kweli ukitaka kumuangalia baba angalia watoto wake.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu kuna chuma mwanamke jembe anasisitiza Pinda ajiuzulu, kwa maana ya kuiwajibisha serikali
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Eka 1 sh 220 kwa mwaka,mwekezaji huyo analipa
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kila wizara INAVUJA,
   
 6. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  NAIL EM UP ALL.
  The clock is ticking, bado kidogo tuone matunda ya mwanzo kabisa ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.
  Tuwe na subira wanabodi
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,073
  Likes Received: 10,430
  Trophy Points: 280
  Hivi kwanini wabunge wasibadili upepo halafu vote of no confidence iwe kwa Rais?
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu wapi nikanunue maana 1000 una kama heka 5 hivi.
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  tujiuzuru wananchi kwanza kwa kuwapigia kura mafisadi
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu ni babati tumeshikwa masikio
   
Loading...