Ningefurahi kuona Dk Cyril Chami anabaki na uwaziri wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningefurahi kuona Dk Cyril Chami anabaki na uwaziri wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saidyakub, Apr 23, 2012.

 1. saidyakub

  saidyakub Senior Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwa yanayojiri General Tyre ningependa nione Dk Cyril Chami anabaki kwenye post yake ili tuone mwisho wa CHC na kina Lema ya Chami kuhusu fedha za mafao ya wafanyakazi zapata Tsh. Bilioni 15 zilizotumbukizwa General tyre zimezamishwa kwenye tumbo la nani na nini hatima yake
   
Loading...