Wakuu naomba niulize hivi JK ana mawazo gani na nchi hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu naomba niulize hivi JK ana mawazo gani na nchi hii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi Wetu, Apr 20, 2012.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwa hali halisi nchi yetu nzuri ya Tanzania iko katika hali mbaya saana kiuchumi!!!!! Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, sukari, mafuta ya magari bei juu zaidi ya mara tatu kuliko awali, mahitaji ya kawaida kama vyakula bei inazidi kupanda!!!!! Kila kitu bei iko juu na mapato yetu yako pale pale, je hakuna huruma ya Raisi wetu kwa watu wa kawaida wa Tanzania????? Watanzania wanazidi kuzama kwenye lindi la umaskini, kupeleka watoto shule na vitu vingine vya muhimu kama malipo ya matibabu imekuwa ni mzigo kwa mtu wa kawaida!!!! Sasa naomba kuuliza hivi Raisi wetu hana habari hizo, mbona hatamki lolote kuhusu hali ya maisha ya Watanzania. Kazi ya serikali yetu ni nini?????? Naomba kuwakilisha!!!!!
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...kutimiza malengo binafsi.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Funga mkanda jikaze kiume uchumi uko mfukoni kwako umeukalia.

  wewe umeifanyia nini nchi yako ... umewahi kuongeza nini kwenye uchumi wa nchi yako?
   
 4. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nchi yetu inazama kwenye lindi la umasikini yeye kakaa kimya tuu???????? Wizi unaendelea kama vila hakuna wa kujali, kuanzia kwenye halimashauri hadi wizarani, sasa wabunge na mawaziri wanaparulana Mkuu sijui hayupo au vipi yeye ni kimya tuu vipi?????

   
 5. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu MAMA POROJO mimi sio Raisi, unapotaka Uraisi ni wajibu wako kusimamia maendeleo ya nchi yako vinginevyo huna sababu ya kuwepo pale!!!!!!

   
 6. d

  davidie JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mama porojo kweli akili zako ni za magamba magamba ebu jiulize ni nani ambae amekabidhiwa chombo kama nahodha wa meli? sasa anapopoteza uelekeo unataka alaumiwe nani? huyu babaako yeye ni kiguu na njia tu yaani kweli mtu hawezi acha asili yake maana hii ndio tabia ya wakwere leo ngoma palaka kesho mwaneromango kesho kutwa kisarawe wiki imeisha.
   
 7. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wee vipi unapochota maji kwa kikombe unaweka kwenye ndoo inayovuja unafikiri matokeo yake nini? Au wewe unashinda vijiweni hufanyikazi za kuongeza uchumi wa nchin unafikiri wote tupo kama wewe? Tunazalisha na kulipa kodi, na zote zinaishia kwenye ndoo iliyotegeshwa mirija na vigogo wa nchi hii
   
 8. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu huyo mama POROJO shida tulizo nazo Watanzania hazimhusu anakula kwa Mkulu hatujui ni kiasi gani!!!!

   
 9. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkulu wa boma yuko zake Brazili anakula bata, sisi tuendelee kusota hadi lini sijui??????????

   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ni kuhudhuria misiba na kuhakikisha lulu anatoka.
   
 11. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Bora Asingezaliwa.
   
 12. Mauntana

  Mauntana Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mitanzania bwana kulalama ikifika wakati wakufanya mabadiliko hata kitambulisho chakupigia kura hana.
   
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ngoja aje kuzungumza na wazee wa Darisalama utapata jibu.
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Naomba tuu nitofautiane na wewe hapa
  kazi yake kama kiongozi ni kusimamia na kuhakikisha kuwa mambo yote yanafanyika kulingana na mipango
  kazi yeke ni kuhakikisha kuwa kuna ukusanyaji mzuri wa mapato kutoka kwa wale ambao amewapa jukumu hilo la kukusanya mapato
  kazi yangu kama mwananchi wa kawaida ni kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi zote ambazo zinastahili ili ile kodi yangu itumike katika kutoa huduma kwa jamii
  Kama kodi haikusanywi na wale aliowateua kulfanya kazi hiyo pale juu anafanya kazi gani kuwawajibisha kwa hilo
  kama wale waliopewa jukumu la kukusanya kodi ndio hao wametoboa lile fuko la hazina wanajilia taratibu na aliyewateua amekaa kimya kwa nini tusiulize
  Mkulima analima mazao yake anapunjwa bei na hata ile iliyopunjwa haioni mpaka agome kwa nini tusiulize yule aliyeteuliwa kusimamia hilo mbona hawajibiki na aliyemteua mbona amekaa kimya tuu haongei
   
 15. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vasco Da Gama(jeikei) yuko Copa Cabana ana kula kuku kwa mrija..
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  JK ni looser.....
   
 17. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No spinning please!
  kama watu hawafanyi kazi hizo trillion zinazopotea zinatoka wapi...si sehemu za kodi hizo n.k

  Of course we need juhudi zaidi kujenga nchi but motivation kwa wengine itatoka wapi kama at the end of the day pesa hazina ndio zinafanywa hivyo
  wako wa Tz wanatimiza wajibu wao bana
   
 18. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo kwa vile wewe una kitambulisho cha kupigia kura tuache kulalamika tukungoje uje upige kura tuweze kuishi au vipi?????????? Wewe una watoto, una familia inayokutegemea, unaishi Nairobi Kenya, au una maana gani ndugu yangu tukuelewe?????????

   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Natamani ndege atakayo panda kurudi ipate ajali.
   
 20. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu kuanzia bandari, viwanda, migodi mali ya asili watu wanachukua kama zao bila kulipa kodi tena tukae kimya eti tusiulize??????Unahamishwa hadi udongo hatujui kimetoka kitu gani kwenye udongo sisi kimya tuu!!!!! Imekuwa nchi gani hii, madudu mengi hayana mifano yote ni kudhulumu wananchi wanyonge wa nchi hii, bado kuna watu wanataka tukae kimya tuu, kweli tutafika huko tuendako, maisha bora kwa kila Mtanzania?????????
   
Loading...