Yu wapi Sitta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi Sitta?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safari_ni_Safari, Apr 20, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  .
  Are you grieving or celebrating the shake up that your party and government is going through?..........umesaini fomu ya Zitto au la??....Mzee wewe husihi vituko!!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  teh teh teh ... six alikuwa anaendakusign alipokutana na Lukuvi njiani akakauka akajifanya alikuwa anamtafuta Lukuvi
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kasema atasign usiku si unajua haya mambo nyeti kidogo!
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  amemwambia zitto ampelekee fomu usiku ili jina lake liwe la mwisho, then kesho ataenda kununua suti za kujiandaa kuapishwa kuwa PM mpya next week
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sahihi yake ni muhimu sana kwani wabunge wa viti maakum hawaruhusiwi jamani tumalize mchezo?
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Sitta muoga sana..hawezi kusaini
   
 7. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwezi kufanya harakati za ukombozi ndani ya magamba. Millya ameliona hilo. Sitta na wenzake wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ni kiini macho.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kaka,
  Ni yule Sitta wa kiume.......yule wa kike sijui hata yuko wapi!!
   
 9. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Six ni snitch na mchumia tumbo kama kina sendeka, kilango na mwakyembe.
   
 10. newMbishi

  newMbishi Senior Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hata hawa wenzie, waweke itikad kando kwa manufaa ya taifa
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Anachekea tumboni saizi
   
 12. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kwa mpango huu ndipo wataonekana wanaofaa kugomea urais mwaka 2015 kutoka ndani ya CCM. Nina hakika kabisa kuwa Mheshimiwa Edward Lowasa atakuwa wa kwanza kusaini kwa wabunge chama chake kudhihrisha kuwa yeye si FISADI bali ni serikali yake tu. wengine ni Akina Sita, Mwakyembe na wengine kudhihirisha kuwa wao ni wazalendo halisi na wana uchungu na nchi hii. unajua siku zote huwa njia ya mwongo ni fupi.
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,500
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  That is your wish Mzee............ Gamba ni gamba tu!!
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Nitashangaa kama kweli SITA, Makyembe na Kilango hawatasaini petition hiyo. Baada ya matokeo yale ndo yatatumika kuwakaanga kuwa ni fake tu??!!! Msiangushe watanzania.
   
 15. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kaka naona mmeitoa ile thread ya ''kizushi''........JF integrity first!

  Ila mbona mmenitolea u-expert katika membership without any because?lol
   
 17. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani kusign mtandaoni??
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu yule aliyepost thread ya kizushi napendekeza apigwe long term BAN!
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Bado anaweza kusaini huko huko.
  Zitto amtumie fomu huko huko kwa email. Sita atoe kopi, atie saini, aiscan halafu airejeshe kwa Zitto.
   
 20. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mimi au mpaka tulipie bill??
   
Loading...