Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wizara hazina huwajibikaji kabisa. Waziri anamiliki Tanpower Resources halafu anawaambia Stamico wasilipe deni hili kampuni yake iweze kuchukua tenda. Huyu aende na maji tu. Ufafanuzi...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Maoni ya katuni Mkutano wa saba wa Bunge la 10 unalifikia ukomo wake jana. Katika mkutano huu mambo makubwa ya kihistoria yaliibuka, yote yakijikita katika wajibu muhimu wa Bunge katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Munkari iliyokuwepo bungeni na matazamo ya waTanzania wengi wa Kuzaliwa upya kwa taifa letu sasa linalozingatia uwajibikaji umegeuka ndoto. Yaana hitimisho lake limelainishwa kupita kiasi...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Huzuni Viongozi watukejeli kwa uhuni Huzuni Hotuba zimejaa habari za kubuni Huzuni Watunyonya vibaya kuliko kunguni Huzuni Ashakum, kidole cha ******** Huzuni Muda umefika, kuanzisha vita ka...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
As CCM intrigues intensify, everyone's talking about Ole Millya... Ole who? By JENERALI ULIMWENGU Ordinarily, a regional chief of a youth organisation of a political party would be small fry...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Neno upepo limesikika sana katika siku mbili tatu hizi. Duniani hakuna upepo mbaya. Ukimwona mwanadamu anarudishwa nyuma na hata kuangushwa na upepo, basi, ujue amekinzana nao...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Sipendi sana mazingaombwe: Chama chenu Serikali yenu Sera zenu Sheria mtunge nyinyi Vyombo vya usalama vyenu Watendaji mteue nyinyi Majaji wote mmeteua nyiyi Wakuu wote wa vyombo vya usalama...
23 Reactions
117 Replies
10K Views
Leo wakati Zitto anawasilisha hoja yake ya kutaka kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu pamoja na kuiwasilisha misingi ya maombi yake ametumia kanuni ya 27(4) ambayo inataka kuitishwa kwa Bunge...
7 Reactions
73 Replies
9K Views
Wana-JF, mi naona hii sheria ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ifanyiwe marekebisho kwa kuondoa kipengelea kinachotaka majina na sahihi za wabunge 20%. Badala ya wabunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chanzo: Freethinking Unabii (mpayukaji blog) Ethel Mutharika Mausoleum Thylo Malawi Jiulize ni mamilioni mangapi ya kwacha hata dola yameteketezwa kwenye kujenga jumba hili ambamo amezikwa rais...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu tukumbuke Rais wetu JK anayo historia ya kuanguka mara tatu nne hivi jukwaani na sababu zilizotolewa na idara husika kuwa ni UCHOVU. Sasa kiongozi wetu anabadilisha nguo akiwa kwenye ndege...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Twasubiri miujiza ya mwenyezi mungu ili tupate okoka katika lundo la kashfa na tuhuma mitaani na bungeni. Mie leo nimepata taabu kusikiliza mazungumzo ndani ya daladala toka Gongo la Mboto hadi...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Kutokana na yaliyoendelea bungeni,imenilazimu kujiuliza maswali mengi! Tarehe 1/5/2012 ni sikukuu ya Wafanyakazi !Je, Serikali pamoja na kuwa na deni la trilioni 14,watathubutu kukopa tena...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Karibu daslam kamanda lema na timu yako hata sisi tuna mis mambo mengi ya kujifunza kutoka kwako na timu nzima ya uhamasishaji ya chama au tupeni hata ratiba mtakuja lini ili tuwe na subira m4c...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka elfu 2010 vijana wa chadema (Mnyika, Wenje, Mdee, Zitto n.k) waligombea nafasi ya kuwania ubunge kupitia Chadema na kufanikiwa kuwa wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Kumbe sarakasi zote za kuchelewa kufanya uteuzi kuanzia ukuu wa wilaya, mkoa hadi baraza la mawaziri anangojewa kipenzi cha jk afike aangaliwe au achague atakaa wapi. My concern ni kwamba...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Nimeona wabunge wa CCM (8) waliosaini kwenye ombi la Zitto atakaloliwasilisha kesho kutaka Waziri Mkuu wa Tanzania apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye, wanapongezwa. Swali langu kwa wana jamvi...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kati ya vitu wanavyonikera viongozi wa CCM ni kusema serikali yao ni sikivu. Sikivu wapi, toka lini tumewaeleza waache mashangingi na kuendekeza miposho ili pesa iende kwenye mambo ya maendeleo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…