Kumbe JK anamsubiria Asharose Migiro ndo afanye mabadiliko baraza la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe JK anamsubiria Asharose Migiro ndo afanye mabadiliko baraza la mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Mar 14, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kumbe sarakasi zote za kuchelewa kufanya uteuzi kuanzia ukuu wa wilaya, mkoa hadi baraza la mawaziri anangojewa kipenzi cha jk afike aangaliwe au achague atakaa wapi.

  My concern ni kwamba atawekwa wizara ambayo itamuandaa kuwa rais baada ya JK

  Source Tanzania Daima
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hivi huwa mnapata wapi tetesi hizi?
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Uwaziri wa nje??
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Utumbo mwingine huwa hauliki kabisa.
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Hata kwa ndizi
   
 6. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Samaki akiisha china hata uweke tui la kwanza la nazi tatu unajisumbuwa bure,.Siku zote tatizo likitokea lazima uchukue immediate action kusolve tatizo talaa talaa siku zote huongeza matatizo,. Mfano mawaziri wagonjwa , wengine wameshindwa kazi kama SOPHIA SIMBA wengine wanamtukana kama SITTA, wengine bunge limeishauri serikali wawajibike wengine hawatakiwi na wadau wao sasa baada ya kuchukua maamuzi anangoja ROSE MIGIRO hainiingii kichwani.
   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Mambo mzito hayo Tanzania mambo mengi yanawezekana!!!!!!!

   
 8. N

  Newvision JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kosa umakini na anadhani kwa kufanya hivyo atasahihisha makosa it is too late. Asha kasshindwa UN na alikuwa anapewa tu maagizo na Ba Ki Moon ataweza hapa???
   
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Sii amekwambia "tanzania daima"?????
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  na yule aliyebadilisha dini apelekwe wapi?
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,542
  Trophy Points: 280
  umoja wa mataifa alishindwa ndo maana katoswa,
  kwa tanzania anafaa kuwa rais, makubwa haya.
   
 12. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Hiyo haiwezi kuwa kweli.Asha Rose Migiro is not about to come back. Kama Rais atafanya mabadiliko ya Cabinet,sidhani kama atamsubiri Asha Rose. And who said Asha Rose is coming back? Haya mambo yote ni rumours. Iliyobaki hapa Rais atazame tu economic perfomance katika kila wilaya na kila mkoa,atazame wakuu wale wana mipango gani,aamue kama wanahitaji kubadilishwa.
  Mimi nasikitika jinsi Wilaya ya Temeke ilivyokuwa katika junk status. Inakuwepo stagnation katika amendeleo ya viwanda,na hakuna mpango wa jinsi ya kukopesha watu kule ili wapate maendeleo kwa sababu hawakopesheki.
   
 13. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
   
 14. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ampe uwaziri mkuu kwani mtoto wa mkulima ni janga la kitaifa
   
 15. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ukiwa naibu katibu mkuu UN ni sawa kuwa makamu wa rais tz. Hamna majukumu makubwa, ishu nzito zote anasimamia boss kuba mwenyewe. Ila napenda kuona Dr asha anarudi tena kuitumikia serikali siku zote naona anafanya kazi kwa umakini sana.
   
 16. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mi naona atamtumia 2015 atakapobanwa na magamba kwenye uteuzi wa mgombea urai.... hoja yake ya mwisho ni SASA HIVI NI ZAMU YA WANAWAKE hasa MIGIRO AU TIBA.. anajua lowasa na wenzake hawawezi yale mambo ya terminator2... na hapo atakuwa ameshinda..
   
 17. M

  Makupa JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ni.hatari.sana kwa gazeti kuandika habari.zake kwa hisia
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ikulu imeingiliwa kumbe Tanzania Daima wanashiriki kupanga baraza la Mawaziri kwa pamoja JK tunaomba watujuze zaidi na mengine yanayotokea ndani ya Ikulu kwani inavyoonyesha gazeti hili ni mwajiriwa wa Ikulu.

  Uongo mwingine ni kama kinyesi
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tanzania Daima linakidhi viwango vya uhalifu
   
 20. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazazi Mpare utawala hawezi wale ni watu wanjaa sana
   
Loading...