Wakuu tukumbuke Rais wetu JK anayo historia ya kuanguka mara tatu nne hivi jukwaani na sababu zilizotolewa na idara husika kuwa ni UCHOVU. Sasa kiongozi wetu anabadilisha nguo akiwa kwenye ndege licha ya kubadilisha family yake kutoka extended kuwa single maana anayefaida mapenzi ni mama salma pekee. Jamii tunajua na kutambua kuwa watoto wanahitaji wawili hawa. Je usalama wa taifa wako wapi rais wetu anachoka na safari? Wanataka aanguke tena ndo wajue sasa amechoka!