Ifikapo 2015 wasomi tusiogope kugombea ubunge kupitia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ifikapo 2015 wasomi tusiogope kugombea ubunge kupitia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kkitabu, Jan 25, 2012.

 1. k

  kkitabu Senior Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwaka elfu 2010 vijana wa chadema (Mnyika, Wenje, Mdee, Zitto n.k) waligombea nafasi ya kuwania ubunge kupitia Chadema na kufanikiwa kuwa wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo, nashauri vijana chipukizi wanaomaliza Vyuo kuwaiga vijana tajwa hapo juu kwani wametuonyesha njia. Tuchangamke inawezekana kuwabwaga wazee wa ccm. John Heche, Dr. Kitila Mkumbo, Deus Kibamba msituangushe changamkeni.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sengerema lazima nitest
   
 3. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hatujasoma kwaajili ya ubunge siye unataka na fani yangu ya Civil nikawekwe waziri wa elimu. Wacha tubaki washauri wasomi ndio uchumi wa nchi tatizo waTZ hamjui ndo maana Mbunge analipwa ten times ya Muhandisi Mkuu sasa Majengo yataacha kuwadondokea hovyo?
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,831
  Likes Received: 3,104
  Trophy Points: 280
  ile miposho naweza mi nataka jimbo la selasini maana jamaa aliniboa kwenye ishu ya posho...kwani lazima niwe mchaga kugombea rombo?
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,498
  Likes Received: 2,597
  Trophy Points: 280
  Napiga jaramba huku nikimvutia kasi huyu jambazi Rweikiza
   
 6. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,269
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Niko mdogo mdogo najipanga kumvaa Alshaabab Rage, mzee wa bastora, huko Tabora.

  Pangu Pakavu.
   
 7. mbogoshi ya boganga

  mbogoshi ya boganga Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wote wana haki ya kugombea sio wasomi tu,na mnaposema wasomi mnaamanisha nini? maana hata aliyemaliza la saba kasoma naye ni msomi pia. cha muhimu wale waliobobea katika fani mbali mbali wabaki kuwa washauri na watendaji katika wizara na sekta mbali mbali,hapo tutasonga mbele. HUO NI MTAZAMO WANGU
   
 8. l

  luckman JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,182
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  nadhan ni muda muafaka wa kuwa na vigezo maalum ili kuwa na viongozi wenye maadili na kujua umuhim wa uongozi na dhamana yao!sio mtu yeyote kujisikia tu na ilkumbukwe kazi ya kiongozi wa kweli ni kubwa kuliko unavodhan, achilia hawa wa sasa wanaojiita viongozi hali ni watawala!
   
 9. k

  kuzou JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wasomi ni nani,siasa,usomi na uongozi wa umma ni vitu viwili tofauti usione una kidgree kimoja viwili ukaona unajua kiongozi anazaliwa si nyie mnaenda kutafuta ugali kwa gia ya mmesoma.maprofessor wangapi wameshidwa uongozi
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Tafuta jimbo la gamba umg'oe mkuu
   
 11. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Hoja za sasa zinanishangaze sana, ila angalieni tu wenzetu hawa wamekuja lini hapa ndio uaona tatizi nini?
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,831
  Likes Received: 3,104
  Trophy Points: 280
  mkuu CDM wengine wana hulka za kimagamba tu..huyu selasini simzimii kabisa,anatia aibu na shibuda wake
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nimeshaanza kuuwasha moto Iramba mashariki.Lissu ndio mwalimu.
   
 14. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa nini wagombee kupitia chadema? kwani wasomi wote ni wanakwaya?
   
 15. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kkitabu umenena! hata kama sio ushabiki wa vyama! niambieni Zamadamu Wahasira ana lipi jipya amejaa kutu ubongo umekufa! Bi kiroboto Aka watoto wa ndege: wenyewe tunaona jinsi Bunge linavyoendeshwa! Pinda pinda etc! Jamani vijana Aibu. Nipo kwa Kibaki wajamaa wametupiga bao zamani?!!
   
 16. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Je mimi niliyeishia vidudu naruhusiwa?
   
 17. d

  davidie JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majimarefu [prof] ameishia la 2b mbona nae ni mheshimiwa?
   
 18. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sitta na Kapuya wajipange aisee!2015 Urambo nakinukisha!!!
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mimi natafuta mtu makini nikamwuze singida kaskazini.
  sifa awe mwenyeji wa jimbo husika.

  awe anajua shida na matatizo ya wanyaturu wa huko.

  awe hajawahi kuwa fisadi wala kuhusishwa nao.

  awe anajua matatizo ya mbunge aliyepo.
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Wasomi ni watu wenye vigezo gani?
   
Loading...