Kama mambo yenyewe ndo hivyo,Nimeishiwa nguvu!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Munkari iliyokuwepo bungeni na matazamo ya waTanzania wengi wa Kuzaliwa upya kwa taifa letu sasa linalozingatia uwajibikaji umegeuka ndoto. Yaana hitimisho lake limelainishwa kupita kiasi, Matumaini ya watu wengi yameyeyuka, taifa haliwezi kuhuishwa wala kuzaliwa upya wala hamna mabadiliko yeyote yanayoweza kutokea, nadhani ndio upepo uliokuwa unaongelewa na kwamba utatulia!

Kwa kweli sasa tunaelekea kuona aibu kuwa watanzania! Ni watu wa maneno harafu kwa Tanzania hamna wafujaji ila kuna watendaji bora regardless kama ni wezi au wafujaji! Kwa Tanzania wafujaji na wezi hunageuka mtendaji wa kutukuka! Kweli inasikitisha!

Nasikitika .
 
Back
Top Bottom