Tujikumbushe KWA WALE WAZALENDO WA KWELI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe KWA WALE WAZALENDO WA KWELI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 23, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
   
 2. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Safi sana, uzalendo wa aina hii hautarudia tena
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nashukuru Mpambanaji kwa kurudisha kumbukumbu zangu nyuma. Hawa ndio walikuwa wazalendo wa kweli walioijenga nchi hii. Hauna picha nyingine inayoonyesha wakiwa bungeni na viti walivyokalia?
   
 4. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu ujumbe wako umefika lkn viongozi wetu kwa maneno tu hawasiki itakuwa kuonye picha za past.
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Leo hii wameongezeka na kina mmoja ana shangingi lake.
  Serikali yenyewe inamiliki magari ya 5 trillion wakati watoto wanakaa chini shuleni, Mbaya zaidi mkuu wa Kaya anasema hajui ni kwa nini watanzania ni maskini
   
 6. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Dah nimeipenda hii. Wangekuwepo hawa nadhani wanasiasa wengi wasasa wasingekua wachumia tumbo!
   
 7. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Ntazirusha!usihofu
   
Loading...