Chanzo;mpayukaji blog
Hakuna ubishi kuwa spika wa Bunge Anna Makinda ni changuo la mafisadi. Ushahidi ni kushindwa kujibu tuhuma hizi ziliporushwa na spika wa zamani Samuel Sitta baada ya...
Jana jioni wakati bunge likiahirishwa huku watu wakiachwa midomo wazi kwa kutosikia walichokitarajia, nilikuwa sehem naangalia hitimisho hilo la mtoto wa mkulima. Baadaya kuisha kwa hotuba yake...
WanaJF,
Namwomba Mheshimiwa Zitto, atufanyie scan fomu yenye majina na sahihi halisi za wabunge waliounga mkono hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, na isambazwe majimboni ili tujue vizuri...
Katika siku za hivi karibuni baadhi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA wamenukuliwa wakitangaza sera ya majimbo ambayo miaka ya nyuma iliwahi kufanya CHADEMA isiwe na mvuto na taswira njema mbele...
Kuna rafiki yangu mtu wa nchi jirani niliyekuwa nazungumza nae juu ya mambo fulani fulani yanayohusu utawala wetu. Mtu huyu hajui kiswahili na kwa kweli alisema anaona watanzania wakiwa na...
Kwa mara nyingine tena baadhi ya madiwani ktk (H) ya wilaya ya ngoro*2 wamezidi kumiminika nyumbani kwa mhe. Long'oyu diwani kata ya Losoito/Maaloni kumshawishi asiachie ngazi baada ya mhe.huyo...
Matukio mengi serikalini yanadhihirisha waziwazi udhaifu mkubwa wa uongozi wa JK. Nitajaribu kuelezea kidogo:
Kwanza uongozi wa nchi ni kama kitambaa cheupe ukutani. Wananchi wanakiangalia wakati...
Kumekuwa na Tetesi kuwa Tume ya Uchaguzi itaajiri wakurugenzi wa uchaguzi katika kila Halmashauri ili kumwondoa Mkurugenzi wa Halmashauri katika michakato ya uchaguzi. Nataka kujua kama kuna...
Jinamizi la viongozi na Chama cha Mapinduzi (CCM) la kukihama chama hicho limeendelea kushika kasi, baada ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha, Justine Genda, naye kutangaza kukihamia...
- Ni wakati muafaka sasa Rais akavunja Cabinet, kulinda heshima ya Serikali yake na hasa ya chama. Ingawa ninasikia tetesi, lakini ninataka kuamini kwamba ni kweli kama ninavyosikia kwamba...
Fri Apr 20, 2012 10:17am GMT
Print |
* Suspects found with machine guns, ladder to board vessels
* Spanish vessel arrests 7 other pirates on mother ship
DAR ES SALAAM, April 20 (Reuters) -...
He promised us that he would announce on Monday the measure taken by Government and by ministers, we were so anxious to hear what has happened, what measures had been taken and to know what does...
Ni mjadala wa maliasiri na utalii CDM ni noma.
Adai anatamani watakao goma kuachia ngazi awapige na viti.
Awambia huu sio upepo anaopita bali ni TUFANI awaonya mawaziri na Rais wakigoma rais...
Viongozi watanzania wameanza kua natabia yakusema uongo bila woga na tena wanautetea bila wasiwasi . na hii tabia inaanza kuota mizizi kuanzia viongozi wadogo mpaka kiongozi mkubwa.
najiuliza...
Katika tasnia ya 'mawasiliano ya kikampuni (corporate communication) kuna dhana moja muhimu sana ambayo inahamasisha makampuni kuitumia mwanya uliojitokeza kwa wakati fulani ili kuipa mafanikio...
Jamani juzi nilikwenda mwananyamala sokoni ili nijipatie mahitaji kidogo kwa ajili ya nyumbani. Amini usiamini nilishindwa kununua kwani mchele kilo moja ni 2,400/= mpaka 3,000/= kwa kweli...
Zimepatikana Sahihi 75, hii inamaana ni wabunge 75 kutoka vyama vyote vyenye uwakilishi kasoro UPD vimeshiriki katika zoezi la kihistoria,
Je hawa wabunge 75 aka G75 tuwaenzi vipi, wanatuhitaji...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeishambulia Ofisi ya Rais Ikulu juu ya kauli yake kwamba Rais Jakaya Kikwete alikuwa hajakutana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumjulisha kile...
Moja ya viongozi Tanzani ni huyu bwana Freeman Mbowe, namhusudu kwa 100%, nayasema haya kutokana na uongozi wake tangu awe Mwenyekiti wa Chadema taifa na kukipa chama hicho hadhi kubwa ndani na...
AUDIO | DW.DE
Click redio juu
Nchini Tanzania, Waziri mkuu Mizengo Pinda leo anatarajiwa kutoa taarifa bungeni leo kufuatia sakata la bunge kuwataka mawaziri kadhaa wajiuzulu...