Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana usiku katika kipindi cha majadiliano Radio Kheri Sheikh Mohamed Issa aliwatahadharisha sana Waislamu kuwa waangalifu na makini na huu umoja na ushirikiano uliojitokeza hivi karibuni kati ya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
salaam, Baada ya sakata ya report ya CAG gumzo mtaani limekua ni ufisadi unaotisha na kukosekana kwa uwajibikaji kwa viongozi wetu..tunajua kua ufisadi ni tatizo kubwa hapa nchini, lakini ufisadi...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Hili jambo huwa linanitatiza sana! Muungano unamaanisha mjumuiko wa watu wawili au zaidi! Ila ukiangalia picha za muungano unaona Nyerere peke yake akiuchanganya udongo kwa ajili ya muungano, je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muundo wetu wa serikali ya sasa umeweka mafanikio kwa wasiasa na sio wananchi wa kawaida. Leo hii waziri o mbunge anaweza akapatiwa mkopo wa hata bilioni 1 tofauti na wananchi wa kawaida kwake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Malaya jela kwa kuuza miil yao WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamehukumiwa kifungo cha wiki mbili jela baada ya kukiri shtaka la kufanya biashara ya kuuza miili yao kinyume cha sheria...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Do we really have guts to celebrate the Union?
0 Reactions
5 Replies
920 Views
Wanajamvi na wataam wa katiba naomba nijuzwe ni zipi kazi za makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa tz maana kila nikitafakari naona ziko sawa na kazi za mke wa rais. kama ni kukata utepe wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upepo mkali unavuma na kwa mawaziri mafisadi someni alama za nyakati. Mi nadhani mngeanza kututajia mali zenu mlizonazo upya na jinsi mlivyozipata. Hakika Watanzania wataelewa na kuwasamehe na...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
UONGOZI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, jana ulitoa tamko la kumsafisha aliyekuwa Mwenyekiti wake, James Ole Millya dhidi ya tuhuma za kuondoka na Sh2 milioni...
3 Reactions
110 Replies
11K Views
Wengi hawaelewi ni kwa nini tunataka katiba mpya................ni kwa sababu tunataka raia wote tushiriki kuitunga katiba hiyo kupitia wawakilishi ambao tutawachagua sisi wenyewe kwa kazi hiyo...
0 Reactions
237 Replies
24K Views
Sio siri kuwa wananchi wengi wanaamini TZ kuna watawala wawili- kutokea magogoni na wale kutokea CHADEMA (Slaa etc). Kunapokuwa na hali tete katika nchi tunategemea tamko/action kutoka either side...
0 Reactions
7 Replies
866 Views
Ni imani yangu kuwa wengi wetu humu ndani kwa namna moja ama nyingine tumetoka katika majimbo tofauti ya Uchaguzi, jambo ambalo linatufanya tuwe na wawakilishi Bungeni. Wawakilishi ambao kwa...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
`Vunja Baraza la Mawaziri` Ladaiwa kushindwa kuwajibuka pamoja Changamoto nyingi hazijapatiwa majawabu Mkurugenzi wa Habari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mikhail Gorbachev anakumbukwa kama kiongozi wa Russia aliyefanya mapinduzi ya anguko la Soviet Union (USSR) mwishoni mwa miaka ya 80. Ni Gorbachev huyo alieingia madarakani na kukuta U-communist...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msomaji Raia Toleo la236 25 Apr 2012 MKUTANO wa nane wa Bunge umemalizika wiki hii mjini Dodoma ukiwa umeweka historia katika Taifa. Orodha ya matukio ni ndefu. Mimi nimechagua kujadili uamuzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
na Mwandishi wetu MAWAZIRI wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wako katika vita ya waziwazi ya kugombea kubaki madarakani kiasi cha kutishiana kifo. Ugomvi huo pia uko kati ya wabunge na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania daima ya leo. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilaya ya Kinondoni, kimempongeza aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, na kumfananisha na aliyewahi kuwa Rais wa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Chadema chama makini kinakubalika hata kisiri siri Raisi anakifagilia tu Big up JK
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria...
1 Reactions
348 Replies
28K Views
Napenda nikuulize wewe CCM je unataka CHADEMA akuangushe mara ngapi ulingoni ndiyo useme umeshindwa pambamo? Maana umepigwa ngumi 1ukadondoka,ya2,ya3,ya4 je huoni refa na kocha wako ndiye wana...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…