UVCCM Arusha wafunga mjadala wa Ole Millya - Tuhuma dhidi yake ni ya Upotoshaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM Arusha wafunga mjadala wa Ole Millya - Tuhuma dhidi yake ni ya Upotoshaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Apr 25, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  UONGOZI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, jana ulitoa tamko la kumsafisha aliyekuwa Mwenyekiti wake, James Ole Millya dhidi ya tuhuma za kuondoka na Sh2 milioni zilizokusudiwa kuanzisha Saccos na kutoa onyo kwa wanachama na viongozi wake mkoani hapa kuacha mara moja tabia ya kila mmoja kujitolea taarifa atakavyo.

  Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Abdallah Mpokwa alisema tuhuma zilizotolewa dhidi ya Mwenyekiti wake wa zamani ni za upotoshaji.

  Bonyeza hapa
  [​IMG] UVCCM yafunga mjadala wa Millya
   
 2. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,032
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Uvccm mkoa wa arusha walipewa mchanga wa Tanzanite na kampuni ya Tanzanite One kwa ajili ya kupata hela ya kuanzishia saccos ya uvvcm mkoa arusha.

  Mchanga huo walipewa kwa kumtumia mama Salma Kikwete kuwapatia kibali cha kupewa mchanga huo.habari za kuhaminika ni kwamba mchanga huo ulitoa madini ya milioni 60.Ambazo alichukuwa Gody Mwalusamba mwenyekiti wa uvccm wilaya ya arusha ambaye ndio aliyetoa wazo la kutafuta mchanga huo na ndiye muelewa wa mambo ya madini.

  Chakushangaza sasa hivi hawamsemeshi subiri ahame kila mtu atasema lake.

  Akiwa ccm safi akihama mwizi hiyo ndio ccm na sera ukweli na uwazi,ccm hoii,hoiii
   
 3. P

  PolisiB52 Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahaaa CCM kwishiney!!!!!!!!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Mi nasema ccm kutamu nyie eeeeeeeeeeeee
  habari zaidi chaja ikiisha ama muda ukiisha soma mwananchi leo uk wa mbele
  uvccm yamsafsha millya..

  Wakati kaka yetu rizi kikwetw alidiriki kuweka maneno ya kkumtishia na kumkashfu
  mh mallya kwa kuondoka na million 2 na nusu za uvccm ..na kutishia kuwaambia wanaomjua millya wamwambie sheria inakuja asubiri kisa na kakampuni chake uchwara cha sheria

  katibu mku wa uvccm abdallah mpokwa amesema tuhuma zilizotolewa na watu mabli mbali kuhusu mwenyekiti wake wa zamani ni zaa uongo na uzushi na azitakiwi kusikkika mbele ya jamii
  katibu huyo ameenda mbali kwa kuoma wale wanaopiga kelele ya kumtuhumu na awana uhakika na kilichopo ama kinachoendelea arusha naomba wakome na wakae kimya

  katika hilo aliwataja baadhi ya wajumbe waliorropka mbele ya media na kusema awastahili hata kidogokuwa wasemaji wa wa uvccm arusha na kusema ameshangaa hata baadhi ya watu wanadiriki kujaza manenno ya kshfa kuhusu mallya kwenye mitandao yao bila kujua kinachoendeleea hii ni kujizalilisha

  akaomba wenye shida ya kujua lolote la uvccm aje kwake na kusema tangu aingie na mpaka ameondoka hana rekodi ya deni lolote la mallya na anaamini ni msafi na ameondoka kwa utashi wake na watu wamwache

  shame rizi shame wajumbe wote waropokaji shame mkome wote mnaokimbilia basi kwa mbele
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni Millya sio Mallya
  Asante kwa taarifa
   
 6. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  afadhali wanaoujua ukweli wameongea, kazi kwao wadandiaji
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  ahsante mkuu unajua kule kwetu kaskazini tuna mallya atuna millya so hata milya akija kule tunamwita mallya ahsante kwa masahhihhisho
   
 8. S

  STIDE JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaka'ke Mwanaasha ataficha wapi uso wake kwa aibu!!?
   
 9. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  Pamoja na uyo rafiki yake kumtetea,hii ishu ya kutoroka na fedha kubwa kiasi hicho imeishammaliza kisiasa bwana Millya.pole yake!
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni vizuri kumkataa shetani na mabo yake yote. Ukitaka kumjua shetani, ana tabia moja huwa hawezi kuificha. Yeye ni mwongo na baba wa uongo.

  See John 8:44b [SUP]44[/SUP] You are of your father the devil, and you want to do the desires of your father. He was a murderer from the beginning, and does not stand in the truth because there is no truth in him. Whenever he speaks [SUP][a][/SUP]a lie, he speaks from his own nature, for he is a liar and the father of [SUP][b][/SUP]lies. Footnotes:
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  KWa hiyo siyo Ridhiwani tu, je Nape et al. waliosema alikuwa mzigo na kwamba kuondoka kwake ni kutekeleza maagizo ya NEC-CCM. Hivi kuondoka kwa wanachama wengi hawa pamoja na baadhi ya viongozi wao bado hawajaamka tu.
   
 12. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe huoni lawassa na jk wanatanua na trioni za richmond,sembuse huyu wa milioni 2,mmalizeni kwanza kisiasa jk na lowassa ndo mje kwa millya
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tanganyika Yetu hii ya Kikwete, Sasa Tuna Kaskazini tofauti na Arusha? ni Kaskazini Gani hiyo?

  Where is JK Nyerere??
   
 14. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Nimeanza kuamnI VIJANA wengi wa UVCCMi wapo CCM kimwili lakini kinafsi wapo nje ya CCM
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu uwezi kudai umeacha uzinzi huku unaendekeza romance
   
 16. P

  PolisiB52 Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba mnijulishe huyo Riziwani ni diwani wa kata gani hapa nchini!!!!!!!!
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  magogoni mkuu
  ni diwani /mbunge/mwenyekiti wa halamashauri/mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa magogoni
   
 18. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nashukuru katibu wa uvccm kwani niliwahi sema hapa kuwa kulingana na system ya uvcmm inavyofanya kazi katibu ndio mtunza pesa na m/kiti hausiki hata ktk usimamizi wake, mapato na matumizi husomwa na katibu husika ndiye ajuaye na ndie mtunza fefha. hii hata ccm taifa ipo hivyo
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  acha comment zako za kimasaburi
   
 20. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ujenzi wa mnara wa 'Babeli' sasa umefikia pazuri, hawaelewani lugha japo pesa, 'wasomi', rasilimali na kila kitu wanacho ila tatizo liko kwenye malengo yao.

  wanakosa kitu kimoja tu, ...HAwako na Mungu!
   
Loading...